babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
😂😂😂Ndo nilitaka nimuulize hapa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Ndo nilitaka nimuulize hapa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
wiki iliopita na wiki hii tulianza na wale wote waliokua wamesafiri nje hata kama hawana dalili walipimwa wote, Sahhi tests zilizofanywa ni elfu kumi. Kuanzia hii weekend na wiki ijayo yote, madaktari wote watafanyiwa mass testing, alafu wakiisha hao ndo wataanza kufanyia wananchi.Kenya mnafanya mass testing?
The government has embarked on mass testing of Covid 19 in the country after latest trends of infections indicated that the highly contagious disease was fast spreading into the counties.
Chief Administrative Secretary Dr. Mercy Mwangangi expressed fears that the virus was increasingly moving to the counties going by the latest cases of fresh infections where sporadically spread out to all corners of the nation.
“We have started mass screening of health workers but taking into consideration the risk profiles of clusters now domiciled right from the South in Kilifi to North in Mandera while Vihiga to the west and Kitui Counties at the East competes the extent of the spread of coronavirus in the nation “she said.
Hivi mnarudi kusoma hizi comments zenu?!Exactly like Japan and Belarus where lives go normally, if you have managed to contain the disease not to have local sources of infections like Tanzania, what is wrong with that?, but as soon as we start recording local sources of infections, we shall definitely change accordingly
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?.
Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.
Viva Tanzania; Tumejipanga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kenya ni nchi ya kwanza kufanya hivyo? Vp Italy, Spain, America, South korea, China n.kwiki iliopita na wiki hii tulianza na wale wote waliokua wamesafiri nje hata kama hawana dalili walipimwa wote, Sahhi tests zilizofanywa ni elfu kumi. Kuanzia hii weekend na wiki ijayo yote, madaktari wote watafanyiwa mass testing, alafu wakiisha hao ndo wataanza kufanyia wananchi.
Kwahivyo mass tetsing ya high risk areas kama hizo quaaranteen centers imeshafanywa, sasa imebaki wananchi wa kawaida..
Usiniandikie propaganda za kikunya hapa,Nimewauliza swali rahisi sana tokea kitambo, Tanzania mmepima watu wangapi, hadi Sasa hakuna mtu amejibu! Si ujibu hilo swali !!!
Sisi tunapima hadi wale ambao hawana dalili ya corona (hio ndo scientific definition ya mass testing, although technically inaitwa targeted mass testing), is mnafanya hilo huko TZ.
12,000 testing kits zinatumwa kwa counties nne wiki him kuanza mass testing huko, je mnafanya kitu Kama hicho huko?
Mashini za kufanya rapid testing ya TB zinageuzwa ziwe zinaweza kufanya 35,000 corona tests per day! Je mko na mikakati Kama hio huko TZ?
Kwa Sasa ni test npapi TZ inaweza kufanya ndani ya masaa 24?
Jibu hayo maswali
Hahahahaha pole pole tu watagundua vile waliokua wanaandika ni matapishiHivi mnarudi kusoma hizi comments zenu?!
Nadhani muda mwingine tuwaache waamini wanacho kiamini.Hawa huwa haichagui pa kujisifu cjui kwnn wapo hv hawa watu
Si ulete takwimu za watu mliopima tumalize hii story mbona mnakimbia swali washamba😜😜Usiniandikie propaganda za kikunya hapa,
Sina haja ya kukujibu kwa sababu unaruka ruka ovyo hapa,
Mara mseme mnafanya mass testing mara mseme hamfanyi!
Mara mseme Tz hawapimi!
Sasa kama hawapimi hao wanaopatikana wanatoka wapi?
Tumepima mmoja tu,Si ulete takwimu za watu mliopima tumalize hii story mbona mnakimbia swali washamba😜😜
Kwa mwezi mzima watanzania mmekua mkijisifu eti maombi yanafanya kazi na nyinyi ndo inchi ya guigwa Africa nzima manake hamna haja ya kupima hadi watu wajilete hospitali wenyewe wakiwa mahututi, tukawaelezea ni kupima ndo hampimi, mkabisha na kusema Kenya inaigizia tu yale ya nchi za uingereza...Tumepima mmoja tu,
Haya furahi sasa,
Hamfanyi mass testing halafu mnakuja kudanganya watu humu eti mnafanya!
Pumba tupu na kujifariji,Kwa mwezi mzima watanzania mmekua mkijisifu eti maombi yanafanya kazi na nyinyi ndo inchi ya guigwa Africa nzima manake hamna haja ya kupima hadi watu wajilete hospitali wenyewe wakiwa mahututi, tukawaelezea ni kupima ndo hampimi, mkabisha na kusema Kenya inaigizia tu yale ya nchi za uingereza...
Leo hii baada ya kugundua kesi zinaongezeka Tanzania mmegeuza story na mnaanza kuuliza ni jambo gani Kenya imefanya ambalo Tz haijafanya 😂 😂 😂 😂 Itabidi muunde whataapp group na watanzania wenzako muwe mnajadiliana mtachukua approach gani kabla mje JF Kenya News 😂😂
Nyinyi wenyewe pia mlikua mnasema hamna haja ya kupima !!!!!!! Na mbona bado hujaleta nambari ya wale mliopima ndo udhihirishe kwamba mnapima tangu mwanzo?Pumba tupu na kujifariji,
Mnakaa kabisa mnasema Tz hawapimi 😂😂😂
Kama hawapimi hao wenye virusi wamejulikana vipi?
Kama hawapimi na wanaumwa si ingekuwa wagonjwa kibao wanaokotwa mitaani kama nchi zingine wanavyowaokota!
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?.
Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.
Viva Tanzania; Tumejipanga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Koma wee! Utanyang'anywa uraia!Ujinga mtupu
Walikuwa wanatukana mamba kabla hawajavuka mto.Hivi mnarudi kusoma hizi comments zenu?!
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?.
Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.
Viva Tanzania; Tumejipanga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanatukana mamba kabla hawajavuka mto.
This is what happens when you let politics take control of everything in your life.
Ushaanza copy and paste,MOH yenu ilikua haitangazi kwamba imepima na haikupata mtu na ugonjwa, usichukulia watu ni wazuzu kama wewe ambaye hata common sense hakuna...
Na mbona bado haujaleta takwimu na mliopima??? Serekali yenuu inaficha kuonekana wazi kwamba hakuna lolote walikua wanafanya hapo awali. Alafu sio kila mgonjwa alie na corona anaanguka, na wale wote wanaoanguka na hawapimwi hawataingia katika takwimu za walio na corona, watakufa,wazikwe na hatutawahi jua kama walikua na corona
Hata kule Italy wameshindwa ku contain virfo manake kuna itadi kubwa sana ya watu hata hawajapimwa! Wanaanguka na kuzikwa na hakuna mtu anafanya contact tracing ya hao watu. Kuna vifo vingi sana manyumbani na kwa nursing homes
---------
Italy's coronavirus deaths could be underestimated in data: official
The number of deaths from coronavirus in Italy could be underestimated in the official figures, the head of national health institute ISS said on Tuesday.
“It is plausible that deaths are underestimated. We report deaths that are signaled with a positive swab. Many other deaths are not tested with a swab,” Silvio Brusaferro told reporters.
He confirmed that official coronavirus data did not include deaths of people who died at home, in nursing homes and all those who may have been infected by virus but were not tested. The vast majority of tests have only happened in hospitals.
---------------------------------------------------
Jamaa wanaanguka na kufa majumbani !! huku ndo tunaelekea tusipo anza mass testing mapema kabla tufike hio hali.. Yani imagine 42% to 57% ya wanaokufa Europe wanaugua na kufa majumbani mwao! hawaendi hospitalini ambako kuna madawa na mashini kama ventilators ambazo zinaweza kuokoa mtu, wanakufa kwa nyumba na takwimu zao hazihesabiwi kama vifo rasmi vya corona, kwahivyo Italy ikisema 18,000 wamekufa, jua kuna kaa 8000 wengine zaidi walikufa na kuzikwa bila kupimwa!!!!
-------------------------------------------------------------------
About half of all Covid-19 deaths appear to be happening in care homes in some European countries, according to early figures gathered by UK-based academics who are warning that the same effort must be put into fighting the virus in care homes as in the NHS.
Snapshot data from varying official sources shows that in Italy, Spain, France, Ireland and Belgium between 42% and 57% of deaths from the virus have been happening in homes, according to the report by academics based at the London School of Economics (LSE).
Published official data for care homes in England and Wales are believed to significantly underestimate deaths in the sector, with the Office for National Statistics only recording 20 coronavirus-related deaths in all care homes in the week ending 27 March. New figures are due out on Tuesday, but are unlikely to be up to date.
Half of coronavirus deaths happen in care homes, data from EU suggests
-----------------------------------------------------------------------
Kumbuka huko ni uzunguni nchi ambazo zimeendelea na zinasema hazijui idadi kamili ya waliokufa, huku Africa ambapo tunapenda kudanganyana tukifika hio hali ya watu kuanguka na kufa itakua hata haitangazwi, unazikwa tu na hadithi yako inaoshia hapo.
Unajua mimi ni raia wa wapi ?Koma wee! Utanyang'anywa uraia!