Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Kenya mnafanya mass testing?
wiki iliopita na wiki hii tulianza na wale wote waliokua wamesafiri nje hata kama hawana dalili walipimwa wote, Sahhi tests zilizofanywa ni elfu kumi. Kuanzia hii weekend na wiki ijayo yote, madaktari wote watafanyiwa mass testing, alafu wakiisha hao ndo wataanza kufanyia wananchi.

Kwahivyo mass tetsing ya high risk areas kama hizo quaaranteen centers imeshafanywa, sasa imebaki wananchi wa kawaida..


 
Hivi mnarudi kusoma hizi comments zenu?!
 

Have you realized how stupid this assertion of yours have proved to be now? Hali ikoje sasa hivi?
 
Unadhani kenya ni nchi ya kwanza kufanya hivyo? Vp Italy, Spain, America, South korea, China n.k
 
Usiniandikie propaganda za kikunya hapa,
Sina haja ya kukujibu kwa sababu unaruka ruka ovyo hapa,
Mara mseme mnafanya mass testing mara mseme hamfanyi!
Mara mseme Tz hawapimi!
Sasa kama hawapimi hao wanaopatikana wanatoka wapi?
 
Usiniandikie propaganda za kikunya hapa,
Sina haja ya kukujibu kwa sababu unaruka ruka ovyo hapa,
Mara mseme mnafanya mass testing mara mseme hamfanyi!
Mara mseme Tz hawapimi!
Sasa kama hawapimi hao wanaopatikana wanatoka wapi?
Si ulete takwimu za watu mliopima tumalize hii story mbona mnakimbia swali washamba😜😜
 
Si ulete takwimu za watu mliopima tumalize hii story mbona mnakimbia swali washamba😜😜
Tumepima mmoja tu,
Haya furahi sasa,
Hamfanyi mass testing halafu mnakuja kudanganya watu humu eti mnafanya!
 
Tumepima mmoja tu,
Haya furahi sasa,
Hamfanyi mass testing halafu mnakuja kudanganya watu humu eti mnafanya!
Kwa mwezi mzima watanzania mmekua mkijisifu eti maombi yanafanya kazi na nyinyi ndo inchi ya guigwa Africa nzima manake hamna haja ya kupima hadi watu wajilete hospitali wenyewe wakiwa mahututi, tukawaelezea ni kupima ndo hampimi, mkabisha na kusema Kenya inaigizia tu yale ya nchi za uingereza...
Leo hii baada ya kugundua kesi zinaongezeka Tanzania mmegeuza story na mnaanza kuuliza ni jambo gani Kenya imefanya ambalo Tz haijafanya πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Itabidi muunde whataapp group na watanzania wenzako muwe mnajadiliana mtachukua approach gani kabla mje JF Kenya News πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pumba tupu na kujifariji,
Mnakaa kabisa mnasema Tz hawapimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama hawapimi hao wenye virusi wamejulikana vipi?
Kama hawapimi na wanaumwa si ingekuwa wagonjwa kibao wanaokotwa mitaani kama nchi zingine wanavyowaokota!
 
Pumba tupu na kujifariji,
Mnakaa kabisa mnasema Tz hawapimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama hawapimi hao wenye virusi wamejulikana vipi?
Kama hawapimi na wanaumwa si ingekuwa wagonjwa kibao wanaokotwa mitaani kama nchi zingine wanavyowaokota!
Nyinyi wenyewe pia mlikua mnasema hamna haja ya kupima !!!!!!! Na mbona bado hujaleta nambari ya wale mliopima ndo udhihirishe kwamba mnapima tangu mwanzo?

Na itakuaje hapo jana mlipata wagonjwa wengi kwa mpigo kama mlikua mnapima wengi kila siku???? Si ingekua juzi juzi mlipata kama 9, juzi 10, jana 10...etc inakuanje mlipata 35 kwa mpigo mmoja?? Si hio inaonyesha wazi kwamba kabla hapo juzi ilikua mnajidanganya hakuna corona TZ kumbe ilikua ni kupima hampimi!
Uganda nao walikua wanaendelea vizuri lakini naona museveni kaamua hakuna haja ya kupima watu wengi, tangu juzi wamesimama kesi za corona ziko pale pale hazisongi.
kwavile wao (Uganda) ndo wana "kesi chache" zaidi kwasasa ngojaa uanze kuwaona pia wao wakijisifu eti wanafanyikiwa na wao ndo mfano wa kuigwa ukanda huu, kumbe shida kubwa wameacha kupima watu....
 
Jomba umeupotea huu uzi wako kabisa? Kwema lakini ? Ama upo Karantini, maji yamezidi unga?
 
Ujinga mtupu
 



Walikuwa wanatukana mamba kabla hawajavuka mto.
This is what happens when you let politics take control of everything in your life.

Naona huyo joto la jiwe itabidi atume barua kwa Admin aondoe neno "Tanzania" kutoka kwa mada na achague moja wepo kati ya Ethiopia, Somalia, Uganda ... manake kwa sasa naona Tz "imeshindwa" na hao wote kuzulia corona, wao sasa ndo "mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona "




πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Ushaanza copy and paste,
Kuna mahali pameandikwa kuwa ni lazima utoe idadi ya waliopimwa,
Yaani hueleweki zaidi ya kujifunga kamba mwenyewe,
Tunarudi pale pale, kama hawapimi hawa wanaopatikana na virusi wamejulikana vipi?
Punguzeni ujinga,
Kama hawapimi basi huku mitaani tungekuwa tunaokota wagonjwa,
Raha ya wakenya ni kuona wagonjwa wakiongezeka Tz.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…