Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Tatizo letu waafrika tunaishia hapa, wazungu watakuja wachukue mchanganyiko huo, waangalie vilivyopo, halafu watengeneze dawa na kuweka hatimiliki. Baada ya hapo kwisha habari yake, wanakuja kuuza dunia nzima. Ndiyo maana Magu kawasema wataalamu wa afya majuzi, hiki ndicho kilikuwa kipindi cha kutoka.Interesting, hii methodology imesaidia sana wananchi wa Uganda kuishinda Covid-19.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo letu waafrika tunaishia hapa, wazungu watakuja wachukue mchanganyiko huo, waangalie vilivyopo, halafu watengeneze dawa na kuweka hatimiliki. Baada ya hapo kwisha habari yake, wanakuja kuuza dunia nzima. Ndiyo maana Magu kawasema wataalamu wa afya majuzi, hiki ndicho kilikuwa kipindi cha kutoka.
Yes... meanwhile TRC is matching on transporting food relief to DRC during this COVID19 Mayhem!
No matter what you post this thread already went south and the Covidiot called Joto la jiwe dissapearedYes... meanwhile TRC is matching on transporting food relief to DRC during this COVID19 Mayhem!
and yet we r feeding u!No matter what you post this thread already went south and the Covidiot called Joto la jiwe dissapeared
Sent using Jamii Forums mobile app