Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.

EWDshsdWsAUY_3g
 
Interesting, hii methodology imesaidia sana wananchi wa Uganda kuishinda Covid-19.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo letu waafrika tunaishia hapa, wazungu watakuja wachukue mchanganyiko huo, waangalie vilivyopo, halafu watengeneze dawa na kuweka hatimiliki. Baada ya hapo kwisha habari yake, wanakuja kuuza dunia nzima. Ndiyo maana Magu kawasema wataalamu wa afya majuzi, hiki ndicho kilikuwa kipindi cha kutoka.
 
Kweli mkuu, ni chi chache sana za Afrika zenye mikakati ya kuhifadhi indigenous knowledge.
 
Haya wale wazee wa propaganda uzi huu hapa pita na ushahidi wako thibitishia watu kwamba ni kweli umeshuhudia kifo aidha kwa mtu unayemfahamu, ndugu, jirani au rafiki, jamaa hataki hear say anataka first hand data from u [emoji116][emoji116]

Uzi maalum wa shuhuda za Vifo vya Covid-19, lete ushahidi wa ndugu/jamaa/rafiki aliye poteza maisha kwa Covid-19, weka uoga kando tufunguke ukweli ha. - JamiiForums

Uzi maalum wa shuhuda za Vifo vya Covid-19, lete ushahidi wa ndugu/jamaa/rafiki aliye poteza maisha kwa Covid-19, weka uoga kando tufunguke ukweli ha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom