Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MY TAKE
grapevine news say the young girl succumbed to coronavirus that deliberately been claimed accident! May her soul RIP!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
MY TAKE
grapevine news say the young girl succumbed to coronavirus that deliberately been claimed accident! May her soul RIP!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
Nairobi zaidi ya watu 600 wamekufa kwa Corona lakini Serikali inaficha.Alifariki kwa ajali acha kulazimisha... .Tanzania in one week mmepoteza watu mashuhuri zaidi ya 20 ikiwemo waziri na wabunge watatu na inasemekana pale dar watu wanakufa sana ila serikali inakana wamefariki kwa corona..Geza vipi hizi vifo za ghafla wakati huu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta evidence ya ajali! Death report pia!Alifariki kwa ajali acha kulazimisha... .Tanzania in one week mmepoteza watu mashuhuri zaidi ya 20 ikiwemo waziri na wabunge watatu na inasemekana pale dar watu wanakufa sana ila serikali inakana wamefariki kwa corona..Geza vipi hizi vifo za ghafla wakati huu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta evidence propagandist, videos or photosNairobi zaidi ya watu 600 wamekufa kwa Corona lakini Serikali inaficha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete evidence alifariki kwa corona na death report piaLeta evidence ya ajali! Death report pia!
Alikuwa Italy!
Kama ambavyo TV zenu zinavyosema Tanzania kumetokea 50deaths per day, without any evidence and you believe them without asking them to produce evidences.
Mange kimambi amejaza evidence, leta yetu propagandist, when this disease hits closer to you ndio utaacha upuziKama ambavyo TV zenu zinavyosema Tanzania kumetokea 50deaths per day, without any evidence and you believe them without asking them to produce evidences.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unamwamini Mange mpk leo 2020[emoji3][emoji3]Mange kimambi amejaza evidence, leta yetu propagandist, when this disease hits closer to you ndio utaacha upuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka niamini ngombe kama wewe who never relies on facts but emotions and insults?Bado unamwamini Mange mpk leo 2020[emoji3][emoji3]
Si alikuaminisha kwmb kungekuwa na maandamano Tz vp uliyaona?[emoji3][emoji3]Unataka niamini ngombe kama wewe who never relies on facts but emotions and insults?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mange Kimambo ndio nani?, au ndio jina jipya la "WHO?. Miguna Miguna amejaza list ya watu wanaokufa Kenya.Mange kimambi amejaza evidence, leta yetu propagandist, when this disease hits closer to you ndio utaacha upuzi
Sent using Jamii Forums mobile app