joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #781
Hata ukiangalia kwa mitandao, wakenya wanadondoka na kufa, unakumbuka kifo cha Tecra Kericho?Ukiangalia kwa mitandao utapata video kila pahali za watanzania especially madereva wa magari za safari.. Wanapatikana kwa barabara wameanguka anguka na wengine wanakufia kazini mwao, manyumbani na kwa mahosipitali
Ata ajari ya barabarani munaihesabu kwa upande wa COVID-19?Hata ukiangalia kwa mitandao, wakenya wanadondoka na kufa, unakumbuka kifo cha Tecra Kericho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Its too sad binti wa mwenye Keroche Breweries alifia Lamu Island ikumbukwe kabla ya hapo alikuwa Italy.Hata ukiangalia kwa mitandao, wakenya wanadondoka na kufa, unakumbuka kifo cha Tecra Kericho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni wakati wa vita!! Amiri jeshi mkuu lazima ajichimbie kwenye ngome na kuendesha mapambano dhidi ya corona na wapambe wake!! Msikie hapa anavyoendesha mapambano na kulipa Taifdfa ujasiri hadi WHO wakaiga!Hata ukiulizwa leo mgufuli yuko wapi huna jibu,si ikulu dar,si chato labda rubondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao marais wengine wote waliotuzunguka ni majizi tu, angalia jinsi walivyokimbilia kupata mikopo ya IMF kwa kisingizio cha Covid-19. JPM aliwataka wawe pamoja ili wafutiwe riba za mikopo ya nyuma instead lakini wapi.. Sikio la kufa...Anayemponda na kumdharau Rais Magufuli, hebu atuwekee hapa clip ya rais yeyote anayeongea kwa kujiamini na ujasiri kama huu hapa kwenye kuongoza mapambano dhidi ya corona inayoweza kushawishi na wengine kuiga au kutoa kauli kama hiyo!! Anza na kutuwekea ya Kenyatta watu wapambanue:
Mabwana zenu wakisema,mnawaamini,ila mwafrika hamwamini.Usitufananishe tafadhali.
Citizen TV: US embassy in Tanzania raises concern on rising and unreported Covid-19....
US embassy in Tanzania raises concern on rising and unreported Covid-19 cases - Citizentv.co.ke
The Star, Kenya: US warns hospitals in Dar es Salaam overwhelmed by virus cases.
US warns hospitals in Dar es Salaam overwhelmed by virus cases