Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Ukiangalia kwa mitandao utapata video kila pahali za watanzania especially madereva wa magari za safari.. Wanapatikana kwa barabara wameanguka anguka na wengine wanakufia kazini mwao, manyumbani na kwa mahosipitali
Hata ukiangalia kwa mitandao, wakenya wanadondoka na kufa, unakumbuka kifo cha Tecra Kericho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates from the other side of borderline zilikuwa gani? 😅 😅
 
Wakenya wengi ni malofa kiakili ndo maana wanaabudia sana mabeberu na propaganda zao
 
Tunamshukuru sana Mungu aliyetupa Rais mcha Mungu. Mungu alimsaidia Rais Magufuli kuona mbele sana na kuamua kutokufanya lockdown ya nchi badala yake tufanye kazi kwa bidii zaidi huku tukijikinga na maambukizi ya corona kwa kufanya social distancing, kunawa mikono mara kwa mara, kuvaa mask, kufunga shule na vyuo, na kuweka karantini wageni kwa siku 14 kwa gharama yao.

Kwa maamuzi hayo ametuepushia maumivu ya lockdown na watu kupoteza ajira. Mwisho wa siku nchi zote zimeanza kuachana na lockdown japo maambukizi mapya bado makubwa na vifo kila siku ni vingi. Nchi hizo ni kama USA, Russia, India, Afrika ya kusini, nk.

Hata WHO wamefuata kauli hiyo hiyo ya Magufuli! Ona hapa:
 

Attachments

  • 2400594_VID-20200515-WA0007.mp4
    888.5 KB
Hata ukiulizwa leo mgufuli yuko wapi huna jibu,si ikulu dar,si chato labda rubondo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni wakati wa vita!! Amiri jeshi mkuu lazima ajichimbie kwenye ngome na kuendesha mapambano dhidi ya corona na wapambe wake!! Msikie hapa anavyoendesha mapambano na kulipa Taifdfa ujasiri hadi WHO wakaiga!
 

Attachments

  • 2400594_VID-20200515-WA0007.mp4
    888.5 KB
Anayemponda na kumdharau Rais Magufuli, hebu atuwekee hapa clip ya rais yeyote anayeongea kwa kujiamini na ujasiri kama huu hapa kwenye kuongoza mapambano dhidi ya corona inayoweza kushawishi na wengine kuiga au kutoa kauli kama hiyo!! Anza na kutuwekea ya Kenyatta watu wapambanue:
 

Attachments

  • 2400594_VID-20200515-WA0007.mp4
    888.5 KB
Anayemponda na kumdharau Rais Magufuli, hebu atuwekee hapa clip ya rais yeyote anayeongea kwa kujiamini na ujasiri kama huu hapa kwenye kuongoza mapambano dhidi ya corona inayoweza kushawishi na wengine kuiga au kutoa kauli kama hiyo!! Anza na kutuwekea ya Kenyatta watu wapambanue:
Hao marais wengine wote waliotuzunguka ni majizi tu, angalia jinsi walivyokimbilia kupata mikopo ya IMF kwa kisingizio cha Covid-19. JPM aliwataka wawe pamoja ili wafutiwe riba za mikopo ya nyuma instead lakini wapi.. Sikio la kufa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom