Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Sasa ndio usichekelee kwa kufaniya mass testing wakenya elfu 10 ikiwa idadi ya wakenya waliopo Nairobi huijui ,sawa sawa na kusuka kamba huku nyuma inaungua Moto .unaweza kumpima mtu leo baada ya mwezi akawa na korona Sasa mpaka umalize watu wote Nairobi hawa wa mwanzo cjui Kama watakuwa bado wapo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
we hata haujielewi, baki na yako
 
.
IMG_20200424_211128.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni siku tatu zimepita sasa Tanzania haijatoa taarifa yoyote kuhusu corona, Ni watu wangapi wamepona/fariki/ongezeka ...etc mda wa mwisho walitoa taarifa ni juzi tarehe 24...Kawaida hua wakichelewa sana wanatoa taarifa baada ya siki mbili, sijui kunani , lets hope mambo ni shwari

1588010112581.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom