Sinister
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 1,531
- 1,577
Chizi wewe, first wave kulikua na kelele kila kona ya dunia, video zilienea kuonyesha watanzania wanaanguka na kufa barabarani na kuzikwa usiku, TV za Kenya zilitangaza watanzania 50 walikua wanakufa kwa siku, kilichotokea ni ninyi wakenya kumpongeza Magufuli na kumtaka Uhuru Kenyatta kufungua nchi kama Magufuli. Tanzania always leads the way.
Ikiwa tajiri kama huyu na mihela yake atakosa mashine za kumsaidia kupumua, je wewe Kajamba wa Buza? Hali yako itakuwa vipi?
Wajibisheni serikali na yule Waziri aliyepotelea kwa mivuke!