Tanzania ni moja ya nchi chache duniani kuruhusu wamarekani kuingia kwa masharti

TUMI EPAFRA

Member
Joined
Jul 12, 2020
Posts
59
Reaction score
56
Tanzania ni moja ya nchi chache sana duniani kuruhusu wamarekani kuingia kwa masharti ya karantini, kwa nini inafanya hivyo, je, ni sawa na salama?

1596448094509.png
 
Sharti halijawekwa na Tanzania, limewekwa na USA yenyewe
Ila Tanzania ni moja ya nchi mbili tu Afrika kuruhusu wamarekani kuingia kwa masharti, moja ya nchi nane tu duniani, hata Canada imezuia wamarekani kabisa. Kwani wametulazimisha kuwaruhusu kuingia? Wamarekani hawana madaraka hayo kwetu au kwa nchi yeyote hasa baada ya kutuzuia kupata visa ya bahati nasibu.
 
Asante Kwa kuniongezea ujuzi
 
Corona kama ipo tayari haina shida, ingekuwa hatuna Corona completely sawa. Tena sisi hakuna hata kuwaweka karantini, wapimwe tu huko wanakotoka, kama wako ok waje!
 
Back
Top Bottom