Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
India ni nchi Moja TU lakini Tanzania ni nchi mbili zenye ligi mbili, serikali mbili, TFF 2, wizara za michezo mbili na bajeti mbili. Yaani ni sawa na kusema Tanzania na Kenya waandae timu Moja ya kushiriki Afcon halafu timu hiyo inashindwa na timu ya Kenya TU.India na china zina watu zaidi ya bilioni lakini hazina timu za mpira tishio duniani. Kwa hiyo suala sio ukubwa wa nchi au idadi ya watu bali suala ni vipaji na kuwekeza kwenye mifumo sahihi. Hakuna aliewaroga ila mnataka shortcut.
Vipaji vipo ila vingine vyote hakuna yaani wachambuzi hakuna viongozi hakuna.Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi?
tumerogwa?
Mchezaji akisha choka ata maamuzi yanakua si sahihi, Kibu alikimbia na jamaa karibu mita 15 bila kufanya maamuzi.Kulikuwa na sababu zipi kibu na Fei wamalize dk 90 Leo dhidi ya DRC? kweli nchi mbili zilikosa sub ya kibu? Kibu anamsindikiZa adui kuelekea golini lakini kocha kang'ang'ana na Kibu hadi mwisho.
Sasa hao china na India mbona wanashindwa na wenzao wenye ligi moja? Germany ana ligi ngapi mbona yuko juu ya china? Hujiulizi nchi ndogo kama spain,england ,portugal ziko juu kisoka kuliko manchi mengi tu makubwa. Sijui serikali 2,.TFF 2 sio lolote kama huna vipaji na hufuati mifumo sahihi.Mkoa mmoja tu wa mbeya unaweza kuwa na timu imara ya taifa ukifuata mifumo sahihi.India ni nchi Moja TU lakini Tanzania ni nchi mbili zenye ligi mbili, serikali mbili, TFF 2, wizara za michezo mbili na bajeti mbili. Yaani ni sawa na kusema Tanzania na Kenya waandae timu Moja ya kushiriki Afcon halafu timu hiyo inashindwa na timu ya Kenya TU.
DRC Wana miaka mingapí wanapigana?Sasa hao china na India mbona wanashindwa na wenzao wenye ligi moja? Germany ana ligi ngapi mbona yuko juu ya china? Hujiulizi nchi ndogo kama spain,england ,portugal ziko juu kisoka kuliko manchi mengi tu makubwa. Sijui serikali 2,.TFF 2 sio lolote kama huna vipaji na hufuati mifumo sahihi.Mkoa mmoja tu wa mbeya unaweza kuwa na timu imara ya taifa ukifuata mifumo sahihi.
Kwani wanapigana nchi nzima?Ligi yao haichezwi?wacongo wamekataliwa kucheza klabu za mataifa mengine?DRC Wana miaka mingapí wanapigana?