Tanzania ni nchi muhimu strategically

Tanzania ni nchi muhimu strategically

Acha kuchanganya lugha ili uonekane unajua, fafanua nilichotaka ufafanuzi.
Google hydrology of Lake Victoria basin, and the source of the White Nile.

Maji mengi yanayo ingia ziwa Victoria yana toka mto Kagera. Mto Kagera una contribute 33% ya surface water inflow into lake Victoria. Na mto Kagera unatoka Burundi and Rwanda highlands na sio Congo forest.

Pia mto Kagera una ingia ziwa Viktoria kupitia Tanzania. Kwa hiyo bado Tanzania ni muhimu sana kwenye mambo ya mto White Nile.

Halafu kumbuka between Congo forest na East Africa kuna milima na some kind of mwinuko wa Rift valley. Maji mengi ya Congo forest yanaingia mto Congo na yanaenda Atlantic Ocean.

https://www.nilebasin.org/images/docs/wetlands/atlas/Wetland_chapter2_Lake_Victoria_Sub_Basin.pdf
 
Takwimu za kidini nilizo zitoa ziko sahihi kabisa kabisa kwa sasa hivi (up to date). % za kidini za sasa hivi sio zile za 1950s.

Vile vile, usi amini hizo % za kidini za census ya wakoloni ya mwaka 1958. Wakati mwingine wakoloni wana agenda zao. Na hivyo hivyo usi amini % za kidini zinazo tolewa na serikali nyingi/mashirika mengi ya wazungu, huwa wana agenda zao.

Kule Nigeria mara nyingi wazungu wame kuwa waki watumia ma generali waislamu wa kaskazini kuwa dhibiti wakristo wa kusini, na kujipatia mafuta ya Nigeria kiuraisi.
 
Kwani mto Nile unaanzia wapi! Kwenye ziwa Viktoria? Kipi hupeleka maji kwa mwenzake, ziwa hupeleka maji kwenye mto au mto hupeleka maji kwenye ziwa? Fafanua hoja yako ya mto Nile ili nasi wa elimu ya kayumba tuelewe.
Kumbe Tanzania ina misitu mikubwa kuliko Kongo!
Kakosea, Mto Nile unaanzia Rwanda ukifika Tanzania unaitwa Mto Kagera, mto huu hukatiza katika Ziwa Victoria, kama ulishabahatika kusafiri na meli ndani ya Ziwa Victoria, ukifika sehemu ambalo Mto Kagera unakatiza meli huwa inayumba sana, utaona baadhi ya watu wanarudisha chenji.

Badae unakatiza unaingia Sehemu ya Uganda-Sudani-Ethiopia-Misri unamwaga maji yake Bahari ya Sham..Bhari Nyekundu na hatimaye kuvaana na Bahari ya Mediterranean mpaka Bahari ya Atlantic.
 
Inasikitisha sana kuona pamoja na umuhimu huu kimkakati sisi bado ni masikini sana.
Nami nifafanue haya uliyoweka hapa, yasibaki kuwa kama fumbo:

"...Kimkakati"kwa umuhimu ilionao Tanzania; pamoja na mazingira yaliyopo, Tanzania ingeweza kabisa kuwa na maendeleo katika 'generation' zisizozidi tatu. Kidogo tungeweza kabisa kuwakaribia nchi kama Malaysia na kwingineko.
Sithubutu kamwe kujilinganisha na nchi kama Korea Kusini iliyoweza kubadili hali duni katika 'generation' moja tu baada ya kuondokana na hali ngumu iliyokuwa ikiwakabili.

Jinsi tunavyokwenda, Tanzania hata baada ya vizazi vitano baada ya uhuru, bado tutakuwa kama Haiti!
 
Kakosea, Mto Nile unaanzia Rwanda ukifika Tanzania unaitwa Mto Kagera, mto huu hukatiza katika Ziwa Victoria, kama ulishabahatika kusafiri na meli ndani ya Ziwa Victoria, ukifika sehemu ambalo Mto Kagera unakatiza meli huwa inayumba sana, utaona baadhi ya watu wanarudisha chenji.

Badae unakatiza unaingia Sehemu ya Uganda-Sudani-Ethiopia-Misri unamwaga maji yake Bahari ya Sham..Bhari Nyekundu na hatimaye kuvaana na Bahari ya Mediterranean mpaka Bahari ya Atlantic.
Kabishi kanachanganya lugha ili kaonekane kanajua kumb kametazama kwenye ramani kakafuatisha na kidole mpaka Misri kisha kakakimbilia kuandika.
 
Ahahahahah nimecheka sana, maana mmoja ya bad reading habit ni hyo ya finger reading, nyingine ni loud/noisy, head moving maoja na mouth reading..

Yaani mtu anasoma huku lips zake zinatamka herufi kimyakimya ahahahah
 
Waislamu wapo asilimia hizo napinga leo Kesho maana hakuna sensa iliyofanyika hizo ni data za kupika kutoka CIA nawashirika wake wengine, mimi nina kitabu kinachoonyesha asilimia za dini katika nchi duniani Tz imewekwa inawaislamu zaidi ya 50% tena hicho kitabu hakijaandikwa na Muislamu nikiseach niitaweka screenshots hapa.
Waislam ni kiasi cha kukaza buti tu, tunawasilimisha na hawa waliobaki
 
Inasikitisha sana kuona pamoja na umuhimu huu kimkakati sisi bado ni masikini sana.
Unajua kwa kupitia bandari tu ingewekezwa kusawasawa kuhudumia hizo nchi land locked countries, tungekuwa vizuri sana kiuchumi
 
Umuhimu wa Tanzania strategically:

1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.

2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.

3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.

4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.

5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.

6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.

7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.

8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.

9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.

10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.
Unataka kuniambia waislamu(30%) ni wachache kuliko wakatoliki peke yao(40%) ya watanzania?
 
Kakosea, Mto Nile unaanzia Rwanda ukifika Tanzania unaitwa Mto Kagera, mto huu hukatiza katika Ziwa Victoria, kama ulishabahatika kusafiri na meli ndani ya Ziwa Victoria, ukifika sehemu ambalo Mto Kagera unakatiza meli huwa inayumba sana, utaona baadhi ya watu wanarudisha chenji.

Badae unakatiza unaingia Sehemu ya Uganda-Sudani-Ethiopia-Misri unamwaga maji yake Bahari ya Sham..Bhari Nyekundu na hatimaye kuvaana na Bahari ya Mediterranean mpaka Bahari ya Atlantic.

Kama haufahamu kitu vizuri, ni vizuri kuwa mnyenyekevu na kujifunza.

Mto Nile haumwagi maji kwenye Red Sea (bahari ya Sham). Mto Nile unamwaga maji kwenye bahari ya Mediterranean.

Muulize rafiki yako mwenye elimu nzuri ya Geography, ya O-level, A-level, na Chuo Kikuu, atakuelimisha.

Google hydrology of Lake Victoria basin, and the source of the White Nile.

Maji mengi yanayo ingia ziwa Victoria yana toka mto Kagera. Mto Kagera una contribute 33% ya surface water inflow into lake Victoria. Na mto Kagera unatoka Burundi and Rwanda highlands na sio Congo forest.

Pia mto Kagera una ingia ziwa Viktoria kupitia Tanzania. Kwa hiyo bado Tanzania ni muhimu sana kwenye mambo ya mto White Nile.

Halafu kumbuka between Congo forest na East Africa kuna milima na some kind of mwinuko wa Rift valley. Maji mengi ya Congo forest yanaingia mto Congo na yanaenda Atlantic Ocean.

Soma hii link hapa chini.

https://www.nilebasin.org/images/docs/wetlands/atlas/Wetland_chapter2_Lake_Victoria_Sub_Basin.pdf
 
Kwani mto Nile unaanzia wapi! Kwenye ziwa Viktoria? Kipi hupeleka maji kwa mwenzake, ziwa hupeleka maji kwenye mto au mto hupeleka maji kwenye ziwa? Fafanua hoja yako ya mto Nile ili nasi wa elimu ya kayumba tuelewe.
Kumbe Tanzania ina misitu mikubwa kuliko Kongo!

Mto Nile unatoa maji kutoka ziwa victoria na kuyapeleka Bahari ya shamu ,kwahyo mto nile unaanzia ziwa victoria.Congo Ina Msitu mkubwa lkn tz ina Mapori mengi
 
Mediterranean Sea siyo Bahari ya Sham.
 
Unataka kuniambia waislamu(30%) ni wachache kuliko wakatoliki peke yao(40%) ya watanzania?

Inawezekana kwamba, wakatoliki peke yao ni wengi kuliko waislamu. Na waprotestanti peke yao ni wengi kuliko waislamu. Na idadi ya wakatoliki ni sawa sawa na idadi ya waprotestanti wote.

Nadhani, kuwa na uhakika zaidi, jaribu kuchukua excel sheet, weka population ya kila mkoa wa Tanzania (mikoa 31) kwenye cells za hiyo excel sheet (according to the results of the most recent population census).

Halafu fanya thought experiment ya percentages za kundi husika kwa kila mkoa. Kwa jinsi unavyo hisi mikoa husika ilivyo kidini.

Halafu utapata total population ya kundi husika kwenye kila mkoa.

Halafu utajumlisha total population ya kundi husika ya kila mkoa, ili upate total population ya kundi husika in Tanzania, inakuwa ngapi.

Halafu angalia hiyo total population ya kundi husika (in Tanzania) ni percentage ngapi ya the total population of Tanzania.

Unaweza ukaweka automatic formulas kwenye cells za hiyo excel sheet, ili ukibadilisha percentage kwenye mkoa moja, automatically unapata percentage kwenye nchi yote.
 
) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!
 
Kwani mto Nile unaanzia wapi! Kwenye ziwa Viktoria? Kipi hupeleka maji kwa mwenzake, ziwa hupeleka maji kwenye mto au mto hupeleka maji kwenye ziwa? Fafanua hoja yako ya mto Nile ili nasi wa elimu ya kayumba tuelewe.
Kumbe Tanzania ina misitu mikubwa kuliko Kongo!
...The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!
 
Kakosea, Mto Nile unaanzia Rwanda ukifika Tanzania unaitwa Mto Kagera, mto huu hukatiza katika Ziwa Victoria, kama ulishabahatika kusafiri na meli ndani ya Ziwa Victoria, ukifika sehemu ambalo Mto Kagera unakatiza meli huwa inayumba sana, utaona baadhi ya watu wanarudisha chenji.

Badae unakatiza unaingia Sehemu ya Uganda-Sudani-Ethiopia-Misri unamwaga maji yake Bahari ya Sham..Bhari Nyekundu na hatimaye kuvaana na Bahari ya Mediterranean mpaka Bahari ya Atlantic.
...The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!
 
Mto Nile unatoa maji kutoka ziwa victoria na kuyapeleka Bahari ya shamu ,kwahyo mto nile unaanzia ziwa victoria.Congo Ina Msitu mkubwa lkn tz ina Mapori mengi
...The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!
 
...The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!

Kimsingi white nile ndio yenye maji mengi sema,inachangia less ya40% kwenye great nile kwa sababu maji mengi hukwama na kupotelea sud swan,hivyo kupelekwa blue nile kuwa mchangiaji mkubwa wa maji katika great nile.
 
Pia during dry seasons (and droughts) in the Ethiopian highlands, the Nile waters that come from Ethiopia zinapungua sana. During vipindi hivyo, the White Nile inakuwa muhimu kwa Egypt. Wakati Ethiopia wana dry season, sisi huku tuna kuwa na vuli na masika.
 
Back
Top Bottom