Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

Hiyo mara nyingi unaipata wapi? au mnajenga bila kuwa na ramani kama nyumba za vijijini? Kuna maeneo ya biashara ,makazi, nyumba za ibada ,masoko n.k jenga kwa kufuata ramani za mipango miji
Unachosema ni sahihi, ila ndio tunarudi kulekule jamii yetu bado kuna ugumu kubadilika, mini supermarkets zinakosa wateja na zinakufa kwasababu watu wamezoea kwenda kwa mangi hapo mtaani kwao kupata huduma.
 
Ni kweli
 
Mkuu mbona toka majuzi unalia lia hapa jf kuhusu fremu!?
Wamiliki wa fremu wamekufanya nini!!!?.
 
Hakuna tatizo...

Unawapa kazi madalali wanakutafutia wapangaji...

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…