Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Nyumba ya kuishi unaenda kujenga kwenye eneo la biashara?Inategemea na ulipo jenga, kama ni eneo la kibiashara au kumechangamka why not.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba ya kuishi unaenda kujenga kwenye eneo la biashara?Inategemea na ulipo jenga, kama ni eneo la kibiashara au kumechangamka why not.
Mara nyingi biashara ndio zinafata makazi na si kinyume.Nyumba ya kuishi unaenda kujenga kwenye eneo la biashara?
Hiyo mara nyingi unaipata wapi? au mnajenga bila kuwa na ramani kama nyumba za vijijini? Kuna maeneo ya biashara ,makazi, nyumba za ibada ,masoko n.k jenga kwa kufuata ramani za mipango mijiMara nyingi biashara ndio zinafata makazi na si kinyume.
Unachosema ni sahihi, ila ndio tunarudi kulekule jamii yetu bado kuna ugumu kubadilika, mini supermarkets zinakosa wateja na zinakufa kwasababu watu wamezoea kwenda kwa mangi hapo mtaani kwao kupata huduma.Hiyo mara nyingi unaipata wapi? au mnajenga bila kuwa na ramani kama nyumba za vijijini? Kuna maeneo ya biashara ,makazi, nyumba za ibada ,masoko n.k jenga kwa kufuata ramani za mipango miji
kwa pesa za uzeeni za kustaafu harafu hakuna watejaSasa hivi mbona zipo kibao tu mpya zinajengwa kila siku ,nyingi tu mpya
Ili upate faida ya sh.ngapi kwa mahesabu hayo kakaFremu ya Laki nusu mtaji ukiwa mdogo usipungue m10. Afu unakopa 3bank inakuwa 13m.
Pia eneo liwe linaeleweka kiasi.