pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Kama tunataka vilabu vyetu vya soka viendelee tuachane na hawa wasemaji wa klabu tuwe na afisa habari, kwa sababu baadhi ya hawa wasemaji wanaongelea mpaka maswala ya ufundi ambayo ni ya kocha. Swala la usemaji tumwachie kocha Kama wenzetu wanavyofanya.
Pili tuache huu ujinga wa kutambulisha wasemaji uwanjani, tutambulishe wachezaji wetu wapya na kikosi kizima cha maangamizi cha msimu unaofwata.
Pili tuache huu ujinga wa kutambulisha wasemaji uwanjani, tutambulishe wachezaji wetu wapya na kikosi kizima cha maangamizi cha msimu unaofwata.