Tanzania ni nchi pekee msemaji wa klabu anatambulishwa uwanjani

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,660
Reaction score
6,282
Kama tunataka vilabu vyetu vya soka viendelee tuachane na hawa wasemaji wa klabu tuwe na afisa habari, kwa sababu baadhi ya hawa wasemaji wanaongelea mpaka maswala ya ufundi ambayo ni ya kocha. Swala la usemaji tumwachie kocha Kama wenzetu wanavyofanya.

Pili tuache huu ujinga wa kutambulisha wasemaji uwanjani, tutambulishe wachezaji wetu wapya na kikosi kizima cha maangamizi cha msimu unaofwata.
 
Mpira wa hii nchi ili usogee mbele zinahitajika timu tatu zaidi ambazo zinaweza kutwaa kombe na zikienda nje zinaperform vizuri.

Kuna maujinga mengi yataachwa.
 
Kama tunataka vilabu vyetu vya soka viendelee tuachane na hawa wasemaji wa klabu tuwe na afisa habari, kwa sababu baadhi ya hawa wasemaji wanaongelea mpaka maswala ya ufundi ambayo ni ya kocha. Swala la usemaji tumwachie kocha Kama wenzetu wanavyofanya.

Pili tuache huu ujinga wa kutambulisha wasemaji uwanjani, tutambulishe wachezaji wetu wapya na kikosi kizima cha maangamizi cha msimu unaofwata.
Unaumia ukiwa wapi, kila timu ina mfumo wake, huyu jama ni bonge la promoter wa soccer anakipaji cha peke, anajua mapungufu ya watanzania hupenda sanaa maneno kuliko chochote kwahiyo anawatendee haki.
 
Wakati Inter inatwaa kombe msaada mkubwa ulikua unatoka kwa saikolojisti wa timu.

Timu nyingi zina mtu wa therapy anayeweza ongea na mchezaji juu ya maswala mbalimbali ya nje ya klabu ambayo yanaweza athiri performance.

Sisi tumeamua kuamini timu yenye msemaji mwenye maneno mengi ndiyo inachukua vikombe.
 
My Son drink water
 
Kila timu ina 'key figure' mpira ni zaidi ya wachezaji na kocha, kwa Manara hapa ana nafasi yake kubwa tayari kasha ongeza kipato na amasa kwa timu yake ya sasa.
 
Hehehe kweli kabisa na akiendelea hivi hivi atagewa kazi na Dortmund maana siku za hivi karibuni imekua legevu.
 
Unaumia ukiwa wapi, kila timu ina mfumo wake, huyu jama ni bonge la promoter wa soccer anakipaji cha peke, anajua mapungufu ya watanzania hupenda sanaa maneno kuliko chochote kwahiyo anawatendee haki.
Nakuambia hata ukiwa na mtu mwenye maneno mengi duniani bila maandalizi na uwekezaji wa kutosha uwezi pata matokeo mazuri tuachane na wapiga domo tuajiri maafisa habari.
 
Wakati Inter inatwaa kombe msaada mkubwa ulikua unatoka kwa saikolojisti wa timu.

Timu nyingi zina mtu wa therapy anayeweza ongea na mchezaji juu ya maswala mbalimbali ya nje ya klabu ambayo yanaweza athiri performance.

Sisi tumeamua kuamini timu yenye msemaji mwenye maneno mengi ndiyo inachukua vikombe.
Na hiyo ndo mmoja wapo ya kamati ya ufundi.
 
Shida ni mtoa pesa wa club,anaacha kuajikita kwenye maandalizi ya timu uwanjani anajikita kwenye kubrand mauzo ya jezi na kumbrand Manara muuza bidhaa za gsm ili apige pesa yeye kama mfanya biashara.
 
Unaumia ukiwa wapi, kila timu ina mfumo wake, huyu jama ni bonge la promoter wa soccer anakipaji cha peke, anajua mapungufu ya watanzania hupenda sanaa maneno kuliko chochote kwahiyo anawatendee haki.
alitambulishwa mchezaji namba moja au ulikuwa umelala?
 
Back
Top Bottom