pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Unaumia ukiwa wapi, kila timu ina mfumo wake, huyu jama ni bonge la promoter wa soccer anakipaji cha peke, anajua mapungufu ya watanzania hupenda sanaa maneno kuliko chochote kwahiyo anawatendee haki.Kama tunataka vilabu vyetu vya soka viendelee tuachane na hawa wasemaji wa klabu tuwe na afisa habari, kwa sababu baadhi ya hawa wasemaji wanaongelea mpaka maswala ya ufundi ambayo ni ya kocha. Swala la usemaji tumwachie kocha Kama wenzetu wanavyofanya.
Pili tuache huu ujinga wa kutambulisha wasemaji uwanjani, tutambulishe wachezaji wetu wapya na kikosi kizima cha maangamizi cha msimu unaofwata.
Wakati Inter inatwaa kombe msaada mkubwa ulikua unatoka kwa saikolojisti wa timu.Unaumia ukiwa wapi, kila timu ina mfumo wake, huyu jama ni bonge la promoter wa soccer anakipaji cha peke, anajua mapungufu ya watanzania hupenda sanaa maneno kuliko chochote kwahiyo anawatendee haki.
My Son drink waterKama tunataka vilabu vyetu vya soka viendelee tuachane na hawa wasemaji wa klabu tuwe na afisa habari, kwa sababu baadhi ya hawa wasemaji wanaongelea mpaka maswala ya ufundi ambayo ni ya kocha. Swala la usemaji tumwachie kocha Kama wenzetu wanavyofanya.
Pili tuache huu ujinga wa kutambulisha wasemaji uwanjani, tutambulishe wachezaji wetu wapya na kikosi kizima cha maangamizi cha msimu unaofwata.
Kila timu ina 'key figure' mpira ni zaidi ya wachezaji na kocha, kwa Manara hapa ana nafasi yake kubwa tayari kasha ongeza kipato na amasa kwa timu yake ya sasa.Wakati Inter inatwaa kombe msaada mkubwa ulikua unatoka kwa saikolojisti wa timu.
Timu nyingi zina mtu wa therapy anayeweza ongea na mchezaji juu ya maswala mbalimbali ya nje ya klabu ambayo yanaweza athiri performance.
Sisi tumeamua kuamini timu yenye msemaji mwenye maneno mengi ndiyo inachukua vikombe.
Hehehe kweli kabisa na akiendelea hivi hivi atagewa kazi na Dortmund maana siku za hivi karibuni imekua legevu.Kila timu ina 'key figure' mpira ni zaidi ya wachezaji na kocha, kwa Manara hapa ana nafasi yake kubwa tayari kasha ongeza kipato na amasa kwa timu yake ya sasa.
Nakuambia hata ukiwa na mtu mwenye maneno mengi duniani bila maandalizi na uwekezaji wa kutosha uwezi pata matokeo mazuri tuachane na wapiga domo tuajiri maafisa habari.Unaumia ukiwa wapi, kila timu ina mfumo wake, huyu jama ni bonge la promoter wa soccer anakipaji cha peke, anajua mapungufu ya watanzania hupenda sanaa maneno kuliko chochote kwahiyo anawatendee haki.
Na hiyo ndo mmoja wapo ya kamati ya ufundi.Wakati Inter inatwaa kombe msaada mkubwa ulikua unatoka kwa saikolojisti wa timu.
Timu nyingi zina mtu wa therapy anayeweza ongea na mchezaji juu ya maswala mbalimbali ya nje ya klabu ambayo yanaweza athiri performance.
Sisi tumeamua kuamini timu yenye msemaji mwenye maneno mengi ndiyo inachukua vikombe.
alitambulishwa mchezaji namba moja au ulikuwa umelala?Unaumia ukiwa wapi, kila timu ina mfumo wake, huyu jama ni bonge la promoter wa soccer anakipaji cha peke, anajua mapungufu ya watanzania hupenda sanaa maneno kuliko chochote kwahiyo anawatendee haki.