Uchaguzi 2020 Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya Nchi Zinazokosa Furaha, CUF tumekuja na sera ya ''Tanzania yenye furaha inawezekana''

Tulishasema Tanzania watu wasio na furaha ni manyani fc ambayo mwenyekiti wenu ni shabiki yao sisi wengine tuko happy
 
Kwani hii N.G.O ina uwezo kweli wa kutulutea furaha ikiwa wao wenyewe hawana furaha
 
Ilimu aliyo Tupa Prof Paulo hii hapa [emoji116]
 
Mbona makada wa kijani siwaoni kwenye hii siredi
 
Prof umeamua kuongea tuu au kweli hajui kwa nchi kama yetu bila maendeleo uzalishaji bidhaa yaani viwanda pamoja na huduma za msingi kama barabara, mahospitali, mashule, nishati .... hatuwezi kuwa na mapesa mifukoni tukakua kiuchumi
 
Ccm bana,mnatudhiaki kupitia Cuf
 
Ccm bana,
 
Nonsense, hivi kwanini hamtaki kutumia ubongo mnatumia ,,,,,,,, kufikiri? Hivi hizi nilizoorodhesha chini wana furaha kuliko Tanzania? Kama ni kweli naona mwisho wa dunia umeishafika.
Tembea dunia ujifunze sio kukalili kama Kasuku.
Yemen
Somalia
Syria
North Korea
South Sudan
DRC
Iran
Afghanistan
Mozambique
Kenya
Mali
Central Afrique
Venezuela
Pakistan
Bangladesh
Libya
Mauritania
South Africa
Nigeria
New Papua Guinea
East Timor
Haiti
 
Mzee Ruzuku mliyokuwa mnaiba na Msajili imeisha!!?
 

Ni kweli kabisa bora mmechagua furaha ya kuwa upande wawatawala maana mngesononeka sana...
 
pelekini ujinga wenu huko... Mwaka huu ruzuku mwisho maana 2020 hamtoshinda hata udiwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…