Uchaguzi 2020 Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya Nchi Zinazokosa Furaha, CUF tumekuja na sera ya ''Tanzania yenye furaha inawezekana''

Uchaguzi 2020 Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya Nchi Zinazokosa Furaha, CUF tumekuja na sera ya ''Tanzania yenye furaha inawezekana''

Cuf wanachekesha kweli, Hawa kupata tu hata Diwani nimuoe mama yangu
 
Nonsense, hivi kwanini hamtaki kutumia ubongo mnatumia ,,,,,,,, kufikiri? Hivi hizi nilizoorodhesha chini wana furaha kuliko Tanzania? Kama ni kweli naona mwisho wa dunia umeishafika.
Tembea dunia ujifunze sio kukalili kama Kasuku.
Yemen
Somalia
Syria
North Korea
South Sudan
DRC
Iran
Afghanistan
Mozambique
Kenya
Mali
Central Afrique
Venezuela
Pakistan
Bangladesh
Libya
Mauritania
South Africa
Nigeria
New Papua Guinea
East Timor
Haiti
Jibu ni "ndiyo" hizo zote zina furaha kuliko tanzania! Una swali jingine?
 
nina furaha sana kuona nchi yangu inashika nafasi ya 6 kutoka mwisho, tumejitahidi kimtindo
 
Tunafurahia matunda ya chama dume,sasa wamtawaze rasmi awe mfalme wetu.

Mitano tenaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Kwa mantiki hiyo kwenye orodha ya nchi zenye watu wenye furaha itashika nafasi ya 8 ? Ama mi ndio sijui lugha
 
Back
Top Bottom