Uchaguzi 2020 Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya Nchi Zinazokosa Furaha, CUF tumekuja na sera ya ''Tanzania yenye furaha inawezekana''

Cuf wanachekesha kweli, Hawa kupata tu hata Diwani nimuoe mama yangu
 
Jibu ni "ndiyo" hizo zote zina furaha kuliko tanzania! Una swali jingine?
 
nina furaha sana kuona nchi yangu inashika nafasi ya 6 kutoka mwisho, tumejitahidi kimtindo
 
Tunafurahia matunda ya chama dume,sasa wamtawaze rasmi awe mfalme wetu.

Mitano tenaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Kwa mantiki hiyo kwenye orodha ya nchi zenye watu wenye furaha itashika nafasi ya 8 ? Ama mi ndio sijui lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…