Tanzania ni nchi ya 97 kwa kuwa na ubora wa barabara duniani

Tanzania ni nchi ya 97 kwa kuwa na ubora wa barabara duniani

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
A picture showing this ranking is available below...

A copy of the WEF report on all other national indicators can be found at http://www3.weforum.org/docs/WEF_GCR_Report_2011-12.pdf
884538_Quality_of_Roads_jpg7f83c881396f04e50598f64df81a74cf
angalia
 
quality of road.jpeg

hio ni list kwa wale ambao awatoona ya apo juu
 
Sio mbaya, wa 45 kutoka mwisho na bado 2na mirad mingi inaendelea, may be 2takuwa wa 50 by July 2013, kama Maguful hata chakachuliwa.
 
Hawa waongo sana wanaangalia kwa GPRS wakati watu wanateseka na makorongo
 
Kenya ina Rasirimali kutuzidi mpaka iwe ya 71??? halafu kuna wanaosema mnyonge.....??!! HAta hivyo huyo mnyonge katoa mfukoni mwake?
 
Mwaka huu tumeshuka sana kutoka 1100km hadi 6000km kwa barabara zinazopitika
 
Kenya ina Rasirimali kutuzidi mpaka iwe ya 71??? halafu kuna wanaosema mnyonge.....??!! HAta hivyo huyo mnyonge katoa mfukoni mwake?

Kenya hawana network nzuri ya barabara kuliko sisi labda kama wamelinganisha barabara za miji mikuu kama Nairobi na Dar
 
Mwaka huu tumeshuka sana kutoka 1100km hadi 6000km kwa barabara zinazopitika

Mwaka 2011 barabara za mikoa zilizokuwa katika hali nzuri ni kilomita 5,976. Mwaka 2010 zilikuwa kilomita 11,012- Dr.Slaa
 
Kenya hawana network nzuri ya barabara kuliko sisi labda kama wamelinganisha barabara za miji mikuu kama Nairobi na Dar

Sisi zenye network ziko wapi! wilaya ipi! hata sisi Mkoa kwa mkoa tu. mwanza ni jiji hebu angalia utafikiri mchezo wa kuigiza tu! Asilimia 99% ni vumbi tu!! Angalia hata Dar 96% ni vumbi tu!
 
Sisi zenye network ziko wapi! wilaya ipi! hata sisi Mkoa kwa mkoa tu. mwanza ni jiji hebu angalia utafikiri mchezo wa kuigiza tu! Asilimia 99% ni vumbi tu!! Angalia hata Dar 96% ni vumbi tu!

boss barabara zinazounganisha mikoa nchini Kenya ni Mbaya sana huwezi kulinganisha na za kwetu ndo hizo ninazozungumzia mimi waliowahi kuishi Kenya watakwambia hili rabda kwa barabara za Nairobi na Mombasa ndo wanatuzidi ila siwezi bisha sana kwa vile sijui vigezo vilivyotumika kufanya hiyo rating
 
Ndiyo maana uchumi wetu uko imara zaidi ya nigeria au kenya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dah nchi yangu namba 4 huo ndio ukweli,tuna njia za uhakika kwenda kokote ndani ya nchi ya oman
 
Barabara za mikopo au zingine mnazozungumzia? Tanzania inasikitisha.
 
Rwanda ya 48
Kenya ya 71
Tanzania ya 97
Uganda ya 107
Burundi ya 117

Viva Kagame...................
 
Back
Top Bottom