Tanzania ni nchi ya 97 kwa kuwa na ubora wa barabara duniani

rwanda ya 48
kenya ya 71
tanzania ya 97
uganda ya 107
burundi ya 117

viva kagame...................

anyway, ukilinganisha na rwanda, sio fair sana, kwasababu, rwanda ukubwa wake ni kama shamba la mheshimiwa sumuye tu, au mkapu labda. Labda kenya kidogo, lakini kenya haikusaidia vita vya ukombozi wa kusini mwa afrika wala hawaja wahi kupigana vita. Pia sisi tunagawana sana kipato na mafisadi. So the going is really tough. So big up tanzania. Twaaweeeza.
 
Ndugu kama upimaji wako unaegemea kwa ukubwa wa eneo basi china ingekua ya mwisho!zingatia kwanza rasilimali tulizojaaliwa times ukubwa wa eneo,kisha tazama rwanda wana nini haswa ila wameweza kufika hapo
 
Duh! kaka nimeshika adabu, kama ni mahakamani, ulikua umemaliza kesi kwa pigo hilo moja tu. Nakushukuru sana. Hakuna cha kujitetea hapa. Tuzipige kila mtu aheshimu mwenzake kama Rwanda.

Back
Top Bottom