Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Kenya ina Rasirimali kutuzidi mpaka iwe ya 71??? halafu kuna wanaosema mnyonge.....??!! HAta hivyo huyo mnyonge katoa mfukoni mwake?
Mwaka huu tumeshuka sana kutoka 1100km hadi 6000km kwa barabara zinazopitika
Kenya hawana network nzuri ya barabara kuliko sisi labda kama wamelinganisha barabara za miji mikuu kama Nairobi na Dar
Kenya hawana network nzuri ya barabara kuliko sisi labda kama wamelinganisha barabara za miji mikuu kama Nairobi na Dar
Sisi zenye network ziko wapi! wilaya ipi! hata sisi Mkoa kwa mkoa tu. mwanza ni jiji hebu angalia utafikiri mchezo wa kuigiza tu! Asilimia 99% ni vumbi tu!! Angalia hata Dar 96% ni vumbi tu!
isee unajidanganya , nchi yao inapitika vizuri zaidi kuliko kwetu
isee unajidanganya , nchi yao inapitika vizuri zaidi kuliko kwetu
Rwanda ya 48
Kenya ya 71
Tanzania ya 97
Uganda ya 107
Burundi ya 117
Viva Kagame...................