rwanda ya 48
kenya ya 71
tanzania ya 97
uganda ya 107
burundi ya 117
viva kagame...................
Ndugu kama upimaji wako unaegemea kwa ukubwa wa eneo basi china ingekua ya mwisho!zingatia kwanza rasilimali tulizojaaliwa times ukubwa wa eneo,kisha tazama rwanda wana nini haswa ila wameweza kufika hapoanyway, ukilinganisha na rwanda, sio fair sana, kwasababu, rwanda ukubwa wake ni kama shamba la mheshimiwa sumuye tu, au mkapu labda. Labda kenya kidogo, lakini kenya haikusaidia vita vya ukombozi wa kusini mwa afrika wala hawaja wahi kupigana vita. Pia sisi tunagawana sana kipato na mafisadi. So the going is really tough. So big up tanzania. Twaaweeeza.
Ndugu kama upimaji wako unaegemea kwa ukubwa wa eneo basi china ingekua ya mwisho!zingatia kwanza rasilimali tulizojaaliwa times ukubwa wa eneo,kisha tazama rwanda wana nini haswa ila wameweza kufika hapo
We jamaa..Sio mbaya, wa 45 kutoka mwisho na bado 2na mirad mingi inaendelea, may be 2takuwa wa 50 by July 2013, kama Maguful hata chakachuliwa.