Tanzania ni nchi ya kidikteta

Kweni Kenya kuna demokrasia? Nijuacho mimi Kenya kuna ukabila tu
 
Ndio mkuu,mimi ni KE avatar inajieleza

Ila wakenya mkibanwa kwa point mnakimbilia ujinsia aiseee
Mimi napenda ke. usiwe na shaka. sina tatizo na wewe.
 
Mimi nafikiri kitu cha kwanza ungeuliza kama kwenye chama chabhuxo Mbowe kuna Demokrasia.

Pili jiulize mwenyewe kwenye nchi yako kama kweli kuna demokrasia ya kweli. Au ni demokrasia ya kuwaridhisha wazungu. Maana katika kwa mtazamo wangu nchi yenye demokrasia ya kweli wananchi wana uwezo wa kumiliki ardhi kama sisi.

Kwanini nyie ardhi yenu kwa kiasi kikubwa inamilikiwa na ma-setlers na Royal families?

Kitu kingine ni kwamba kwanini nyie wakenya mnaikimbia nchi yenu na kuiimbilia nchi za nje ambako mnanyanyasika?

Cha mwisho ni kwamna kama Kenya ni nchi yenye demokrasia kama unavyodai, kwanini sasa wakenya wengi wanaishi kwenye Slums kuliko watu wano ishi kwenye zenye udictator?

Jiulezeni kwanini wenye nchi mnasota wakati nchi yenu kiuchumi imeshikwa na wazungu na wahindi?

Ukisha yaelewa hayo naomba njoo tena tujadili kuhusu demokrasia. Demokrasia sio one way. Uchumi wenu unatakiwa ushikwe na nyie wenyewe na sio foreigners.
 
Kuna nchi ya kichoko kama yenu linapokuja suala la democracy na amani?

Ukabila ndio democracy?
 
Hivi nchi gani kati ya Tanzania na Kenya inaendeshwa na wageni? Akina Mo pia mnawaita Watanzania? Wacheni ujinga. Basi hata huku akina Delamere pia ni Wakenya maana walizaliwa huku.
 
Kuna nchi ya kichoko kama yenu linapokuja suala la democracy na amani?

Ukabila ndio democracy?
Angalau sisi tunaweza kuenda barabarani kuandamana. Nchi yenu ya kinyanyasaji hata huwa mnaogopa kutoka nje kudai haki zenu kwa sababu mtapigwa kama mbwa.
 
Angalau sisi tunaweza kuenda barabarani kuandamana. Nchi yenu ya kinyanyasaji hata huwa mnaogopa kutoka nje kudai haki zenu kwa sababu mtapigwa kama mbwa.
Una haki gani wewe kama ardhi kubwa nchini mwako sio yako? Mengine ni porojo tu, Tanzania tunaistahi serikali maana ndio inamiliki ardhi yote, huko kwenu mnalazimika kuwaabudu miungu watu kwa interest zao binafsi.
 
Angalau sisi tunaweza kuenda barabarani kuandamana. Nchi yenu ya kinyanyasaji hata huwa mnaogopa kutoka nje kudai haki zenu kwa sababu mtapigwa kama mbwa.
Kwani nyie hampiigwi. Kwhusu Corona je hamkuumizwa na polisi wenu. Mbona nyie ni wasahaulifu sana.
 
Hivi nchi gani kati ya Tanzania na Kenya inaendeshwa na wageni? Akina Mo pia mnawaita Watanzania? Wacheni ujinga. Basi hata huku akina Delamere pia ni Wakenya maana walizaliwa huku.
Mo ni tajiri lakibi haendeshi nchi. Lakini nyie huko mnatoa maamuzi ya kisiasa kwa ushauri kutoka kwa matajiri wenu. Au mmesahau mlivyo jaribu kuzifungia ndege zetu zisiibgie kwenu? Ulikuwwa uamuzi wa serikali yenu ule? Au mmesahahu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…