Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna nini?Tanzania hatuna democracia acha ujinga
Naongea Kwa data we are better than kenyaUmeandika pumba
Endelea kutuombea mabaya.
Wewe mama tulia.
Kweni Kenya kuna demokrasia? Nijuacho mimi Kenya kuna ukabila tuMimi kama Mkenya nahuzunika sana kuona kwamba tumezungukwa na nchi za kidikteta. Kenya is the only democracy in East Africa. Mkubwa wa Upinzani Freeman Mbowe na wafuaswi wake wamekamatwa usiku wa kuamkia jana na wanashikiliwa na polisi. Inakisiwa kwamba watashtakiwa kwa madai ya ugaidi. Yaani mnarudi nyuma ndugu zetu. Kushtaki Freeman Mbowe kwa shtaka la kigaidi inadhihirisha kwamba huko kwenu kuna udikteta wa hali ya juu hata kushinda Uganda.
Hakuna mwanamme ana mdomo hivyo. Utakuwa wewe ni ke tu.
Mimi nafikiri kitu cha kwanza ungeuliza kama kwenye chama chabhuxo Mbowe kuna Demokrasia.Mimi kama Mkenya nahuzunika sana kuona kwamba tumezungukwa na nchi za kidikteta. Kenya is the only democracy in East Africa. Mkubwa wa Upinzani Freeman Mbowe na wafuaswi wake wamekamatwa usiku wa kuamkia jana na wanashikiliwa na polisi. Inakisiwa kwamba watashtakiwa kwa madai ya ugaidi. Yaani mnarudi nyuma ndugu zetu. Kushtaki Freeman Mbowe kwa shtaka la kigaidi inadhihirisha kwamba huko kwenu kuna udikteta wa hali ya juu hata kushinda Uganda.
Hivi nchi gani kati ya Tanzania na Kenya inaendeshwa na wageni? Akina Mo pia mnawaita Watanzania? Wacheni ujinga. Basi hata huku akina Delamere pia ni Wakenya maana walizaliwa huku.Mimi nafikiri kitu cha kwanza ungeuliza kama kwenye chama chabhuxo Mbowe kuna Demokrasia.
Pili jiulize mwenyewe kwenye nchi yako kama kweli kuna demokrasia ya kweli. Au ni demokrasia ya kuwaridhisha wazungu. Maana katika kwa mtazamo wangu nchi yenye demokrasia ya kweli wananchi wana uwezo wa kumiliki ardhi kama sisi.
Kwanini nyie ardhi yenu kwa kiasi kikubwa inamilikiwa na ma-setlers na Royal families?
Kitu kingine ni kwamba kwanini nyie wakenya mnaikimbia nchi yenu na kuiimbilia nchi za nje ambako mnanyanyasika?
Cha mwisho ni kwamna kama Kenya ni nchi yenye demokrasia kama unavyodai, kwanini sasa wakenya wengi wanaishi kwenye Slums kuliko watu wano ishi kwenye zenye udictator?
Jiulezeni kwanini wenye nchi mnasota wakati nchi yenu kiuchumi imeshikwa na wazungu na wahindi?
Ukisha yaelewa hayo naomba njoo tena tujadili kuhusu demokrasia. Demokrasia sio one way. Uchumi wenu unatakiwa ushikwe na nyie wenyewe na sio foreigners.
Kuna nchi ya kichoko kama yenu linapokuja suala la democracy na amani?
Ukabila ndio democracy?
Una haki gani wewe kama ardhi kubwa nchini mwako sio yako? Mengine ni porojo tu, Tanzania tunaistahi serikali maana ndio inamiliki ardhi yote, huko kwenu mnalazimika kuwaabudu miungu watu kwa interest zao binafsi.Angalau sisi tunaweza kuenda barabarani kuandamana. Nchi yenu ya kinyanyasaji hata huwa mnaogopa kutoka nje kudai haki zenu kwa sababu mtapigwa kama mbwa.
Kwani nyie hampiigwi. Kwhusu Corona je hamkuumizwa na polisi wenu. Mbona nyie ni wasahaulifu sana.Angalau sisi tunaweza kuenda barabarani kuandamana. Nchi yenu ya kinyanyasaji hata huwa mnaogopa kutoka nje kudai haki zenu kwa sababu mtapigwa kama mbwa.
Mo ni tajiri lakibi haendeshi nchi. Lakini nyie huko mnatoa maamuzi ya kisiasa kwa ushauri kutoka kwa matajiri wenu. Au mmesahau mlivyo jaribu kuzifungia ndege zetu zisiibgie kwenu? Ulikuwwa uamuzi wa serikali yenu ule? Au mmesahahu?Hivi nchi gani kati ya Tanzania na Kenya inaendeshwa na wageni? Akina Mo pia mnawaita Watanzania? Wacheni ujinga. Basi hata huku akina Delamere pia ni Wakenya maana walizaliwa huku.
Mama anaupiga mwingi.Mama Dikteta ni katili sana aisee.