Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,199
- Thread starter
- #21
Tatizo ni kwamba ndani ya katiba mpya kuna jina la Tanzania. Maana kuna Tanganyika, Zanzibar na Tanzania.Usihofu mkuu baada ya KATIBA MPYA kupita mwakani hilo jina la TANZANIA tutalizika rasmi, sasa wakianza kuziita bidhaa zao kwa jina letu halisi la TANGANYIKA tutatangaza kuwatimua wakenya wote nchini kama tulivyowafanya Wanyarwanda.
Hii nchi tunaishi bora liende tu, Nobody cares on anything just Selfishness and Greedy is all our leaders cares about.