Tanzania ni nchi yenye raia wanaopenda shari mdawote

Tanzania ni nchi yenye raia wanaopenda shari mdawote

aliekatakamba-wingatereza

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2023
Posts
624
Reaction score
4,583
Watanzania tunapenda kukaa pembeni na kushadadia mambo kiushabiki tu mfano
Mbowe alitaka aendelee kuwa mwenyekiti watu wakatia fitina hadi akashindwa😁

paten kakosewa kidogo tu wabongo wakashadadia hadi watangazaji wakafukuzwa kazi😐wabongo wamefurahi sana.sijafurahishwa na watangazaji kumfosi dogo ajibu asichokipenda bali kilamtu anakosea walipaswa kunywa tu

Israel ikipigana na Iran wabongo hawalali kwakupenda ushabiki hawajui vita inahusisha maumivu kwa raia? unafurahi nini sasa?

sasahivi watu wapobize na polepole😁😁😁😁😁

wanachochea moto hatarii no reforms imesahaulika lisu anasota mwenyewe

hii ninchi ya kushabikia kilakitu kinachokuja mbeleyetu hatuna msimamo wakujua kipi tunadili nacho
 
Back
Top Bottom