Tanzania ni Taifa imara na tuna Kiongozi imara. Hoja za Bunge la EU zinajibika kwa Hoja

MUANDISHI HOJA YAKO NI NINI?

KATIKAKUSOMA SIJAONACHOCHOTEULICHOKIANDIKA.

KWA USHAURI TU.
PUNGUZA KUKURUPUKA.
 
Umeamdika mengi kujaribu kutetea. Shida kubwa Ni ndimi mbili zinazojichanganya, huku unadai huna corona Na kule unataka hela ya korona? Which is which?
 
Serikali ina matumizi mengi inayo kuhudumia, tuvute subira wenye mamlaka watajibu, nina imani hizo Euro hazijaibiwa.
Mkuu una akili timamu?Yaani upewe hela kwa ajili ya COVID-19 halafu useme umetumia katika matumizi mengine?!
 
Neno uzalendo limepoteza maana katika hii awamu.
 
Nikajua anagalau umejibu, kumbe unasybiri zijibiwe. Kichwa cha uzi na content havishabihiani
 
Wananchi tunawaamini zaidi wazungu, siyo hawa wakoloni weusi chinjachinja!
 
Wa Walipozichukua walikuambia wanazifanyia kazi gani? Kama walikuambia sasa twambie kama hiyo kazi haijafanywa na pesa imeliwa?
 
Siku ya kuapishwa Rais pale Dodoma waalikwa wote toka nchi za Nje ikiwa ni pamoja na Mabalozi toka Dar es Salaam walivaa Barakoa kujikinga na Covid-19 ambao hapa kwetu haupo. Wageni hawa huko kwao walipimwa na kuonekana hawana coronavirus vya kuwaambukiza Watanzania na kuruhusiwa kuondoka. Pale Uwanja wa Ndege walipimwa tena na Watanzania wenyewe ili kutulinda tusiletewe gonjwa ambalo kwetu halipo, waligundulika hawana Virusi wakaruhusiwa kuingia nchini hata kukaa meza kuu na Rais wetu mpendwa. Hata waalikwa wengi jirani zetu, ukiacha Museveni aliyevaa Barakoa, hawakuhudhuria sherehe hiyo muhimu wakiogopa covid-19 ambayo haipo. Yule mwakilishi wa Botswana aliyemwakilisha Rais wake akiwa amevaa Barakoa alisema Rais wake hakuja kwa sababu ana hotuba muhimu karibuni maana angekuja ingebidi akae karantini siku 14 akirudi na kwamba hata yeye akirudi atakosa Mkutano wa Bunge wiki iliyofuata atakuwa kwenye karantini. Ukimwi upo nchini zaidi ya miaka 40 kondomu na sasa ARV na mabilioni toka kwa "mabeberu" zilimwagwa nchini lakini hakuna Mtanzania aliyetangazwa kufa kwa gonjwa hilo na sasa Covid-19 hakuna nchini na hakuna anayetangazwa kupata Virusi, wala kuugua, wala kufa na gonjwa hilo lakini mabilioni yakija toka kwa "mabeberu" yanashambuliwa kukinga wananchi na coronavirus. Mjinga hawezi kumdanganya mjanja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…