mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
mwenyekiti wa chama cha wagonjwa wa kisukari prof.Andrew Swai amewataka watu kuacha matumizi mabaya ya pombe ili kujiepusha bna magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama kisukari, magonjwa ya figo pamoja na moyo. Amesema kua kutokana na takwimu zilizofanyika Tanzania imekua nchi ya 3 kwa ulevi barani Afrika imezidi Urusi ambayo hapo nyuma ndo ilikua ikiongoza kwa ulevi