Tanzania ni ya 73 kwa Passport zenye nguvu duniani

Tanzania ni ya 73 kwa Passport zenye nguvu duniani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kwa mujibu wa taarifa ya Henley Index imetaja Japan kuwa na passport yenye nguvu Zaidi duniani kwa kuwa ina nchi 191 ambayo inaweza kwenda, Tanzania inaweza kwenda nchi (destinations) 70 imekuwa nafasi ya 73. Afghanstan imekuwa ya mwisho kwa kuwa na passport mbovu ambayo ina destinations 26

1578643506444.png

The best passports to hold in 2020 are:

1. Japan (191 destinations)

2. Singapore (190)

3. South Korea, Germany (189)

4. Italy, Finland (188)

5. Spain, Luxembourg, Denmark (187)

6. Sweden, France (186)

7. Switzerland, Portugal, Netherlands, Ireland, Austria (185)

8. United States, United Kingdom, Norway, Greece, Belgium (184)

9. New Zealand, Malta, Czech Republic, Canada, Australia (183)

10. Slovakia, Lithuania, Hungary (181)

The worst passports to hold

Several countries around the world have visa-free or visa-on-arrival access to fewer than 40 countries. These include:

100. North Korea, Sudan (39 destinations)

101. Nepal, Palestinian Territory (38)

102. Libya (37)

103. Yemen (33)

104. Somalia, Pakistan (32)

105. Syria (29)

106. Iraq (28)

107. Afghanistan (26)

Kwa mujibu wa taarifa ya Henley Index imetaja Japan kuwa na passport yenye nguvu Zaidi duniani kwa kuwa ina nchi 191 ambayo inaweza kwenda, Tanzania inaweza kwenda nchi (destinations) 70 imekuwa nafasi ya 73.

Kuna maelezo hujayaweka...

Ni kwamba passport ya Tanzania inaweza ikakupeleka katika destinations 70 pasipo kuhitaji visa (visa upon arrival)

Bahati mbaya hakuna nchi za maana tunazoweza ingia isipokuwa Singapore, Malaysia, Macao na HongKong labda kama ni mpenda utalii nchi kadhaa za Carribean pia nazo unaweza ingia
 
Namba Saba, hizo nchi zimeanzisha sex tourism kwa hiyo watalii ni wengi Sana, watu wanataka kwenda kuonja wazungu
 
Tunahitaji ufafanuzi juu ya izo tarakimu za idadi ya nchi...Zikiwa nyingi na zikiwa chache na umuhim wakuzingatia ilo uko wapi.
 
nchi ziko 70, sijaweka ni nchi gani ila ukiingia utaona nchi unazoweza kuingia bila visa upon arrival
 
nchi ziko 70, sijaweka ni nchi gani ila ukiingia utaona nchi unazoweza kuingia bila visa upon arrival
Kwa namna ulivyowasilisha uzi wako, maelezo yako hapo juu ni kama vile yanaelezea kuwa ukiwa na pasi ya kusafiria ya Tanzania, itakuwezesha kufika nchi 70 pekee
 
Hahahaaa!! Tanzania ni ya 73 huku nafasi hiyo ikiwa tunabebwa na "shithole" countries excluding some Asian countries! Si Wazungu wala Waarabu wanaotaka tunuse nchi zao bila Visa!!!
 
Tunahitaji ufafanuzi juu ya izo tarakimu za idadi ya nchi...Zikiwa nyingi na zikiwa chache na umuhim wakuzingatia ilo uko wapi.
Ukiona, kwa mfano, Tanzania inaonesha nchi 100, maana yake ni kwamba, unaingia kwenye nchi hizo aidha, bila Visa kabisa, au unaweza kuingia na kukaa muda fulani bila Visa (usually kuanzia siku 30 hadi 180), au unaweza pewa Visa baada ya kufika (Visa on arrival)! Nchi yoyote ambayo haitakuwa kwenye list ya hizo nchi 100, unatakiwa kupata Visa kwanza kabla hujanusa airport.
 
Namba Saba, hizo nchi zimeanzisha sex tourism kwa hiyo watalii ni wengi Sana, watu wanataka kwenda kuonja wazungu
Mbona umeongea kinyume! Ni passport holders wa hizo nchi ndio wanaweza kujimwaga kwenye hizo idadi ya nchi zilizotajwa, lakini kwa yule mpenda nyapu za kununua za kizungu, kuingia hapo itategemea na passports za hao wapenda nyapu!!
 
Back
Top Bottom