Tanzania ni yetu sote! Tukikupa uongozi ukumbuke ni neema tu za Mungu

Ingekuwa si yako uenda tusingekustiri mpaka leo, kwamba mtu akikosea akaadhibiwa akatafsiri ni kwasababu Tz si kwao ni kupoteza maana ya kupinga. Tupinge mambo yanayostahiri
 
Hiyo kauli ya nikisema ukweli mtalia sikuwahi labda kuisikia au niliisikia ila sikusikiliza.

Nimeipenda na ninatamani aseme ukweli tu Tulie yaishe au tulie alafu tatajua ninitunafanya baada ya hapo.

Kuliko kupelekwa kama mazuzu
 
Nauliza lini Mtatambua Tanzania ni ya watanzania na si Vyama vya siasa. ....

Mkajikita kwenye mijadala inayowaletea afya na si kujaza sumu kwenye miili yenu na kutengenezea maumivu moyoni mwenu?

Hivi haya maneno,ya chuku,kejeli hamtambui mnaiua Tanzania ya watoto na wajukuu zenu?

Ni wakati muafaka siasa ibaki kwa wanasiasa.........wengine wote jikiteni kuijenga Tanzania.........
Ardhi Safi mnayo,
Nguvu kazi ni ninyi wenyewe,
Mitaji ni nguvu zenu kabla ya pesa
Elimu mnayo....hamjui kuitumia.......kutwa negative thoughts and ideas.

Nini Mbona mnamkosea....Mungu?

Wapinzani come out with a new appproach...jengeni u moja utawasaidia....kuliko kuwagawa watu kwa kauli tata.
 
Upinzani kwa mfalme ni kesi na uchochezi...hataki kusikia upinzani....wote wawe fisiem....na wote waseme ndiooo hata kama upuuzi....amesigina katiba tuseme ndiooo....visasi na chuki ndiooo....eboooo
 
Upinzani kwa mfalme ni kesi na uchochezi...hataki kusikia upinzani....wote wawe fisiem....na wote waseme ndiooo hata kama upuuzi....amesigina katiba tuseme ndiooo....visasi na chuki ndiooo....eboooo


Hivi Mnapopambana kuitaka Tanzania mnayoitaka,mnajiuliza Hii Tanzania inapaswa kupitia hatua zipi?

Mbona mnangangana kukosoa tu,ninyi kama wapinzani mnapokosolewa mnaona si sahihi?

Je yeye mnayemkosoa atakubali vipi?

Maturity stage has alot to cope........
So you better go for process innovation rather than product innovation.
 
Unajidanganya,tz ni ya bashite na babayake sisi wengine ni wazamiaji tuu.
 

Tanzania ni ya Bashite Chato a.k.a Grace Mugabe mtaalamu wa pyu pyu pyu risasi 30 SMG.
 
Tanzania ni ya watu wawili tu!

Ova
 
Una uhakika kweli Tanzania ni yetu sote?
Nauliza tu mleta mada anijibu.
 
Well said mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…