Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Half of Norwegian aid funds misused - report
2009-04-16 16:20:51
By Guardian Reporter
A total of US$30 million (over 36bn/-) given to Tanzania as aid by the Norwegian government in the past 12 years may have been squandered through corruption and mismanagement, an independent report has revealed.
The just-released Anti-corruption Resource Centre Report entitled `Does Aid work?`, which considers the challenges to aid effectiveness in major natural resources programmes, says half of the US$60 million did not make it to the primary targets and ended up lost.
The report is authored by Erik Jansen, a senior advisor at NORAD Evaluation Department
Gurdian ya leo (17/04/09) inasema ......
Serikali imesema italipa/ itarudisha fedha zilizotolewa kama msaada na serikali ya Norway na kisha kufujwa na mafisadi fulani. Ubalozi wa Norway umesema utazitaka fedha zote kurudishwa kwani zimetumika ovyo na kinyume malengo yaliyokusudiwa. Fedha hizo ni shilingi 36 billioni zimefujwa kati ya mwaka 1996 na 2007. lakini Wizara ya Maliasili na utalii inasema fedha ambazo zinaweza kuwa zimefujwa ni kati ya shilingi 2.4 billion na si hizo (36 bil) zilizoanikwa na ubalozi wa Norway.
Maswali Magumu
Fedha za Norway zitapatikana na kurudishwa, Je serikali itapata wapi fedha za kulipia ufisadi huu?
Ikiwa serikali itapata fedha kutokana na kodi zetu, ina maana ni fedha za umma wa waTZ, Je fedha zetu sisi ndo zinafaa zaidi kulipia ufisadi ama kwa vile hazina msimamizi (Bunge halina meno)?
Je tutaendelea hadi lini kushudia upuuzi na wizi kama huu ukiendelea huku serikali ikifanya mambo kama haya na kurudisha nyuma maendeleo ya nchi na ya wananchi huku mafisadi wakiendelea kupeta wakijua hakuna wa kuwawajibisha?
Ndugu wajumbe haya ndio mambo ya serikali yenu inachota fedha zenu kufunika kombe ili mwanaharamu apite!!!!!!!!!!

Last edited: