Tanzania now a lower middle income country, move over Kenyans!

Tanzania now a lower middle income country, move over Kenyans!

Aisee naipenda nchi yangu sana,lakini hata iweje siwezi muamini Mpango au Jiwe or anybody connected with this regime on any data whatsoever!

Naona lies left and right!

Ni mimi,sijaomba mtu anifate!
 
By 2025 we should have per capital of $3000 n that is the government focus
Hatari sana watu wako kwenye per capita ya $50,000 sisi ka $3000 tu kanatutoa jasho LOOOL!
 
Back
Top Bottom