tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Watu flan hv hawajishtukii yani wanazingua mbayaShida yetu kubwa ni Population kubwa ambayo haizalishi, na ukizingatia kundi kubwa ni Tegemezi,
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu flan hv hawajishtukii yani wanazingua mbayaShida yetu kubwa ni Population kubwa ambayo haizalishi, na ukizingatia kundi kubwa ni Tegemezi,
Hatari sana watu wako kwenye per capita ya $50,000 sisi ka $3000 tu kanatutoa jasho LOOOL!
The Danganyika I know???? Somalia will be before Danganyika.
No, we will overtake you guys, before Somalia overtakes you.
Africa tulirogwa na mchawi wetu keshakufa
unajua thats very unlikely, 2025 mtakuwa na population ya 72 million, ndio mkuwe na gdp/capita ya 3000 lazima your gdp iwe 216 billion huko, mko na like 150 billion to go in like 6 yearsBy 2025 we should have per capital of $3000 n that is the government focus
Never say never, 3yrs from today umeme tu tunafanya wonders 5000MW, watalii wanongezeka kwa kasi,production zinaongezeka maradufu Yaani speed ya development Ni kibwa kuliko ya kuzalianaunajua thats very unlikely, 2025 mtakuwa na population ya 72 million, ndio mkuwe na gdp/capita ya 3000 lazima your gdp iwe 216 billion huko, mko na like 150 billion to go in like 6 years
Hahaha motisha zenyewe zikowap...Ndio maana tunasukumanaMdebwedo hamna lingine, tukiambiwa tujitume kwenye uchumi wa masaa 24 Miafrika tunapiga makelele utadhani tumetukanwa, hata hayo masaa 12 yenyewe ukifuata wengi wetu tunakua productive kwa wastani wa masaa matatu.
Hope is a nice thing. But hapa ni kukuwa realistic. Thats never gonna happen, but I wish you guys all the best. Tumechoka kukuwa the only non LDC country this region. But by now nashuku mshatoka LDC. Uganda ndio hopeless caseNever say never, 3yrs from today umeme tu tunafanya wonders 5000MW, watalii wanongezeka kwa kasi,production zinaongezeka maradufu Yaani speed ya development Ni kibwa kuliko ya kuzaliana
Uganda one day watatoka wakiamua kupambana kiume...sikufaham tulitoka ldc tangu 2017Hope is a nice thing. But hapa ni kukuwa realistic. Thats never gonna happen, but I wish you guys all the best. Tumechoka kukuwa the only non LDC country this region. But by now nashuku mshatoka LDC. Uganda ndio hopeless case
Na mm nashangaa unajua kila siku nilikua najiuliza why wanatuita LDC wakati nikiangalia mtaani naona tofauti kumbe tulishatoka huko hahahahaa now I get it..Uganda one day watatoka wakiamua kupambana kiume...sikufaham tulitoka ldc tangu 2017
as of 2018 bado mko ldc.Uganda one day watatoka wakiamua kupambana kiume...sikufaham tulitoka ldc tangu 2017
😂😂😂😂😂😉😂😂😂😂😂😂😂Hope is a nice thing. But hapa ni kukuwa realistic. Thats never gonna happen, but I wish you guys all the best. Tumechoka kukuwa the only non LDC country this region. But by now nashuku mshatoka LDC. Uganda ndio hopeless case
Imf ndiyo mdudu gani?Tuna ngoja official statement kutoka imf si usanii wa sisiem....
Look at you writing na pain. Pambana na hali yako ya LDC😂😂😂😂😂😉😂😂😂😂😂😂😂
Ila jf bana
Who's suppose to wish his fellow the best between Tanzania and Kenya?
Of course I feel pity on children dying from hunger than mere paperworks numbers