Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

Kenya, having completed its SGR, 50 years after Tanzania constructed Tazara is enough reason to say Kenya is now catching up with Tanzania and not vice cersa.
unasema nini sasa, Bandari ya Mombasa inapiga mizigo double ya ukichanganya bandari zote Tanzania, Alafu Hio Tazara yenu haijawahi kubeba mizigo mingi kuliko MGR yetu iliojengwa 1901 !!!!!! Miaka mia moja na ishirini iliopita!
 
Shaba yote ya zambia na DRC inapitia hapo
 
Nope, Nyengine hupitia Namibia, Nyengine huenda na route ya Mozambique na iliobaki ipitie na Dar port, na tena asilimia kubwa hupelekwa kwa malori ... Kwa kifupi kwa mwaka hua sidhani kama madini hayo hufika hata tani 2 million.
 
unasema nini sasa, Bandari ya Mombasa inapiga mizigo double ya ukichanganya bandari zote Tanzania, Alafu Hio Tazara yenu haijawahi kubeba mizigo mingi kuliko MGR yetu iliojengwa 1901 !!!!!! Miaka mia moja na ishirini iliopita!

Soma tena ulichoandika kuhusu TZR.
 
My

My friend Nimetoka kuangalia Britam Ina gorofa 31 wakati TPA Ina gorofa 40 , kitu kimeongeza urefu wa Britam kuzidi TPA ni mnara wa mawasiliano
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
My

My friend Nimetoka kuangalia Britam Ina gorofa 31 wakati TPA Ina gorofa 40 , kitu kimeongeza urefu wa Britam kuzidi TPA ni mnara wa mawasiliano
GTC nayo pia ina mnara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…