Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Huna jibu la maanaMaswali yako waulize wazazi wako walioruhusu ukawa hivyo !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna jibu la maanaMaswali yako waulize wazazi wako walioruhusu ukawa hivyo !!
Majibu halisi yametoka kwa Dialo . Je ni uongo au ukweli ?!Huna jibu la maana
Hawa nao vp raisi ndiye anayeleta maji mbona kina mbowe walipotaka kufungwa mlisema magufuri kawaweka lumande miezi miwiliUpo sahihi mkuu,
Rais haleti maji ila kodi za wananchi zinaleta maji.
JPM alikubali kutukanwa na kuambiwa anachukua kodi kwa nguvu ili apate hela ya kupeleka maji Tabora.
Kukusanya kodi kwa wafanyabiashara waliozoea kusamehewa na kukwepa kodi sio mchezo mkuu.
Si unajua kuna baadhi ya wafanyabiashara walihamishia biashara zao nje ya nchi ili kukwepa kodi? Akiwepo tajiri Freeman Mbowe wa Moshi?
Miaka yote ya uhuru, kodi imekusanywa, Tabora ni miongoni mwa mikoa inayotoa mapato makubwa sana, mbona maji hayakuwepo?
JPM will forever live in peoples's hearts.
Ndio majibu kwamba hao ndio aliwauwa?Majibu halisi yametoka kwa Dialo . Je ni uongo au ukweli ?!
Mwendakuzimu alikuwa haoni aibu kudanganya hadharani, hili la kufikia uchumi kabla ya Muda wachumi huwa tunamshusha viwango kwa nafasi ya urais ni aibu kupanda jukwaani na kuanza kudanganya umati ili upate cheap popularity.Wewe ndio unaropoka mkuu,
Tanzania iliweka mpango, ifikapo 2025, ifikie Uchumi wa kati wa Chini, mwaka 2020 Tanzania ikafikia uchumi wa kati wa chini.
Mipango ni kitu kimoja, kutekeleza mipango ni kitu kingine.
Kupanga ni rahisi sana ila kutekeleza ni kazi inayohitaji kujitoa sadaka.
Nadhani utaacha uropokaji baada ya hapa.
Wewe ni kichaa kabisa!Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za kijamii.
Awamu zote kabla ya JPM zilipita,bila kuwaletea wana Tabora maji safi na salama. JPM aliwahi kusema, ukiomba mkopo ili upeleke huduma ya maji Tabora, wahisani wanakataa.... JPM aliamua kutumia hela anayokusanya (Kodi) kupeleka maji katika mkoa mkubwa wenye historia iliyotukuka.
Kilichoniliza sio JPM kufa, wala kuleta maji Tabora. Kilichoniliza, kuna bibi mmoja, aliniomba hela 2,000...nikasita kumpatia maana anaonekana ni mlevi. Mimi msabato, ni makosa kumpatia mtu hela akanunue kitu kitakachomuangamiza.
Nikamuuliza ya nini 2000, akanambia "Mjukuu wangu, hii naenda kulipia mkopo wa bomba la maji" Nilishituka, ikabidi nimuite dogo mmoja, alikuwa anapita, nikamuuliza kama kuna mikopo ya hivyo.
Dogo akanambia baada ya maji kufika wilaya ya nzega kipindi cha JPM, changamoto ilikuwa wananchi wengi hawakuwa na uwezo wa kuvuta mabomba ya maji kutoka ziwa Viktoria. Serikali ya wanyonge, kupitia rais Magufuli akatoa order, kila asiyenauwezo wa kuvuta bomba la maji, atakopeshwa, atakuwa analipa 2000 kila wiki mpaka itakapo timia 40,000.
Bibi yule nilimpa 2000. Sasa leo Napita zangu mitaa ile yule bibi ananiletea risti inayodhibitisha kalipia maji. Nilishangaa sana. Nilimpa 20,000 ili akalipe deni lote. Baada ya kufika, napolalaga, nilianza kulia baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Tabora nayoifahamu mimi, leo ndoo mbili shilingi 50? Miaka 60 bila maji, Magufuli akaleta maji.
AsanteMagufuli- Kweli vizuri havidumu
Uliyo andika na mada iliyopo, inaonyesha hata elimu ya MEMKWA uliyopata haiku kusaidia! Pole, basi tena.Hivi Rais ndio analeta sehemu maji?
Haya mambo ndio yanatufanya tushinikize katiba mpya
"UGATUZI" watu wapate maendeleo wanayoyataka kwa kupanga wenyewe sio kupangiwa na yeyote
Maana watu ndio walipa kodi sio mtu anaamka kiss yeye ni Rais anajenga uwanja wa ndege kwao na Hifadhi ya wanyama
Hivi wananchi wa Chato kipaumbele chao ni Uwanja wa ndege na Mbuga ya wanyama?
UbarikiweNimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za kijamii.
Awamu zote kabla ya JPM zilipita,bila kuwaletea wana Tabora maji safi na salama. JPM aliwahi kusema, ukiomba mkopo ili upeleke huduma ya maji Tabora, wahisani wanakataa.... JPM aliamua kutumia hela anayokusanya (Kodi) kupeleka maji katika mkoa mkubwa wenye historia iliyotukuka.
Kilichoniliza sio JPM kufa, wala kuleta maji Tabora. Kilichoniliza, kuna bibi mmoja, aliniomba hela 2,000...nikasita kumpatia maana anaonekana ni mlevi. Mimi msabato, ni makosa kumpatia mtu hela akanunue kitu kitakachomuangamiza.
Nikamuuliza ya nini 2000, akanambia "Mjukuu wangu, hii naenda kulipia mkopo wa bomba la maji" Nilishituka, ikabidi nimuite dogo mmoja, alikuwa anapita, nikamuuliza kama kuna mikopo ya hivyo.
Dogo akanambia baada ya maji kufika wilaya ya nzega kipindi cha JPM, changamoto ilikuwa wananchi wengi hawakuwa na uwezo wa kuvuta mabomba ya maji kutoka ziwa Viktoria. Serikali ya wanyonge, kupitia rais Magufuli akatoa order, kila asiyenauwezo wa kuvuta bomba la maji, atakopeshwa, atakuwa analipa 2000 kila wiki mpaka itakapo timia 40,000.
Bibi yule nilimpa 2000. Sasa leo Napita zangu mitaa ile yule bibi ananiletea risti inayodhibitisha kalipia maji. Nilishangaa sana. Nilimpa 20,000 ili akalipe deni lote. Baada ya kufika, napolalaga, nilianza kulia baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Tabora nayoifahamu mimi, leo ndoo mbili shilingi 50? Miaka 60 bila maji, Magufuli akaleta maji.
AsanteMagufuli- Kweli vizuri havidumu
Kwanini kuna double standards miji mingine wanatozwa sh 400000 kuingiza maji umbali wa mita 10 wengine 40000Dogo akanambia baada ya maji kufika wilaya ya nzega kipindi cha JPM, changamoto ilikuwa wananchi wengi hawakuwa na uwezo wa kuvuta mabomba ya maji kutoka ziwa Viktoria. Serikali ya wanyonge, kupitia rais Magufuli akatoa order, kila asiyenauwezo wa kuvuta bomba la maji, atakopeshwa, atakuwa analipa 2000 kila wiki mpaka itakapo timia 40,000
Weka na sisi watumishi wa umma alitusahau sana.Magufuli anachukiwa na watu wachache sana hapa duniani, niamini mimi bro. Fanya research mkuu. Wanaomchukia ni kikundi cha watu wachache sana ambao wako JF, twitter na Ufipa basi.
Tabora ilikuwa balaa maji mnashare na mifugo barabara za lami hakuna umeme hakuna lkn leo fika hd vijijini Kuna umeme maji walishindwa kuyatoa kazima lkn mwamba aliyatoa Victoria aisee RIP JPM tabora hawatakusahauNimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za kijamii.
Awamu zote kabla ya JPM zilipita,bila kuwaletea wana Tabora maji safi na salama. JPM aliwahi kusema, ukiomba mkopo ili upeleke huduma ya maji Tabora, wahisani wanakataa.... JPM aliamua kutumia hela anayokusanya (Kodi) kupeleka maji katika mkoa mkubwa wenye historia iliyotukuka.
Kilichoniliza sio JPM kufa, wala kuleta maji Tabora. Kilichoniliza, kuna bibi mmoja, aliniomba hela 2,000...nikasita kumpatia maana anaonekana ni mlevi. Mimi msabato, ni makosa kumpatia mtu hela akanunue kitu kitakachomuangamiza.
Nikamuuliza ya nini 2000, akanambia "Mjukuu wangu, hii naenda kulipia mkopo wa bomba la maji" Nilishituka, ikabidi nimuite dogo mmoja, alikuwa anapita, nikamuuliza kama kuna mikopo ya hivyo.
Dogo akanambia baada ya maji kufika wilaya ya nzega kipindi cha JPM, changamoto ilikuwa wananchi wengi hawakuwa na uwezo wa kuvuta mabomba ya maji kutoka ziwa Viktoria. Serikali ya wanyonge, kupitia rais Magufuli akatoa order, kila asiyenauwezo wa kuvuta bomba la maji, atakopeshwa, atakuwa analipa 2000 kila wiki mpaka itakapo timia 40,000.
Bibi yule nilimpa 2000. Sasa leo Napita zangu mitaa ile yule bibi ananiletea risti inayodhibitisha kalipia maji. Nilishangaa sana. Nilimpa 20,000 ili akalipe deni lote. Baada ya kufika, napolalaga, nilianza kulia baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Tabora nayoifahamu mimi, leo ndoo mbili shilingi 50? Miaka 60 bila maji, Magufuli akaleta maji.
AsanteMagufuli- Kweli vizuri havidumu
Mbona ni kama ulililia kwasababu ulimpa huyo bibi ela? Think again.Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.

Vipi MKUU mpaka mda huu unapoleta ujumbe wako bado unalia?Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.

unavyomsifia mwendazake kwa alichofanya tabora katika huduma ya maji, unaweza dhani miaka yote baada ya uhuru nchi ilikuwa chini ya utawala wa chama cha upinzani.Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za kijamii.
Awamu zote kabla ya JPM zilipita,bila kuwaletea wana Tabora maji safi na salama. JPM aliwahi kusema, ukiomba mkopo ili upeleke huduma ya maji Tabora, wahisani wanakataa.... JPM aliamua kutumia hela anayokusanya (Kodi) kupeleka maji katika mkoa mkubwa wenye historia iliyotukuka.
Kilichoniliza sio JPM kufa, wala kuleta maji Tabora. Kilichoniliza, kuna bibi mmoja, aliniomba hela 2,000...nikasita kumpatia maana anaonekana ni mlevi. Mimi msabato, ni makosa kumpatia mtu hela akanunue kitu kitakachomuangamiza.
Nikamuuliza ya nini 2000, akanambia "Mjukuu wangu, hii naenda kulipia mkopo wa bomba la maji" Nilishituka, ikabidi nimuite dogo mmoja, alikuwa anapita, nikamuuliza kama kuna mikopo ya hivyo.
Dogo akanambia baada ya maji kufika wilaya ya nzega kipindi cha JPM, changamoto ilikuwa wananchi wengi hawakuwa na uwezo wa kuvuta mabomba ya maji kutoka ziwa Viktoria. Serikali ya wanyonge, kupitia rais Magufuli akatoa order, kila asiyenauwezo wa kuvuta bomba la maji, atakopeshwa, atakuwa analipa 2000 kila wiki mpaka itakapo timia 40,000.
Bibi yule nilimpa 2000. Sasa leo Napita zangu mitaa ile yule bibi ananiletea risti inayodhibitisha kalipia maji. Nilishangaa sana. Nilimpa 20,000 ili akalipe deni lote. Baada ya kufika, napolalaga, nilianza kulia baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Tabora nayoifahamu mimi, leo ndoo mbili shilingi 50? Miaka 60 bila maji, Magufuli akaleta maji.
AsanteMagufuli- Kweli vizuri havidumu
Unalisahau suaoa la upatikanaji maji tabora ni matokeo ya mradi wa jutoa maji ziwa victoria hadi mikoa ya shinyanga, tabora, singida tangu m1aka 2008Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.