Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

Jamaa alitoa hela ya mshara wake na malimbikizo akatununulia ndege. Hatutaweza msahau
 
Hawa nao vp raisi ndiye anayeleta maji mbona kina mbowe walipotaka kufungwa mlisema magufuri kawaweka lumande miezi miwili
 
Mwendakuzimu alikuwa haoni aibu kudanganya hadharani, hili la kufikia uchumi kabla ya Muda wachumi huwa tunamshusha viwango kwa nafasi ya urais ni aibu kupanda jukwaani na kuanza kudanganya umati ili upate cheap popularity.
 
Mleta mada umeandika, baada ya kufika unapolalaga ukaanza kulia.. Kwingine kote niliamini, hapo tu! Yaani hata Mama Janet ameshavuka hatua hiyo.
 
Wewe ni kichaa kabisa!

Kumekuwa na miradi mingi Tabora ya kuboresha upatikanaji wa maji. Awali,kabla ya mradi wa maji wa ziwa victoria,ambao pesa zake alitafuta Kikwete akapata mkopo kutoka serikali ya india,kulikuwa na maboresho makubwa ya upatikanaji wa maji kutokana na mradi uliofadhiriwa na serikali ya ubelgiji wakati wa serikali ya awamu ya nne.

Sasa huu upuuzi uliopost hapa umeutoa wapi?
 
Uliyo andika na mada iliyopo, inaonyesha hata elimu ya MEMKWA uliyopata haiku kusaidia! Pole, basi tena.
 
Ubarikiwe
 
Kwanini kuna double standards miji mingine wanatozwa sh 400000 kuingiza maji umbali wa mita 10 wengine 40000
 
Magufuli anachukiwa na watu wachache sana hapa duniani, niamini mimi bro. Fanya research mkuu. Wanaomchukia ni kikundi cha watu wachache sana ambao wako JF, twitter na Ufipa basi.
Weka na sisi watumishi wa umma alitusahau sana.
 
Ta
Tabora ilikuwa balaa maji mnashare na mifugo barabara za lami hakuna umeme hakuna lkn leo fika hd vijijini Kuna umeme maji walishindwa kuyatoa kazima lkn mwamba aliyatoa Victoria aisee RIP JPM tabora hawatakusahau
 
Mbona ni kama ulililia kwasababu ulimpa huyo bibi ela? Think again.
 
Sawa kwani tabora ndo ilikuwa na shida ya maji tu, ni kwamba maendeleo hayawezi fika sehemu zote kwa wakati mmoja,kwa hiyo hajafanya kitu special sana hata watangulizi wake walifanya sehemu yao,
 
Vipi MKUU mpaka mda huu unapoleta ujumbe wako bado unalia?

Sifa za Tabora zimwendee , aliekua MKUU wa Mkoa wa Tabora , mzee wa Sukuma ndani, ukiwa na viongozi wanaotambua wajibu wao sehem walipo , KWA niaba ya serikali , KWA kujenga hoja tu serikali lazima itatimiza, apa namanisha ,wabunge, wakuu wa wilaya, na Mkoa, bila kutokua na watu wa wa kuibua changamoto na hoja jinsi ya kuzitatua , Serikali hawezi fanya kitu , maana ina ina mambo mengi ,

Tafadhali punguza kulia
 
unavyomsifia mwendazake kwa alichofanya tabora katika huduma ya maji, unaweza dhani miaka yote baada ya uhuru nchi ilikuwa chini ya utawala wa chama cha upinzani.
 
Unalisahau suaoa la upatikanaji maji tabora ni matokeo ya mradi wa jutoa maji ziwa victoria hadi mikoa ya shinyanga, tabora, singida tangu m1aka 2008
 
There is no cogent ground to remember him. And it doesn't make sense or sway to remember him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…