Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Shida ya maji ni balaa zaidi hata Kariakoo kwenye hakuna maji mkuuMiaka 60 ya utawala wa chama chake watu hawana maji. Na yanapoletwa hawana 2000 za kila wiki ili waunganishiwe maji.
Miaka 60 ya kujitawala mwananchi anaona ni ajabu kupata maji.
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria.
Amandla...
Wewe kula kulala unajua nini katika uchumi wa dunia. Subiri upate chakula cha mchana then uangalie movie and lastly ukalale.Miaka 60 ya utawala wa chama chake watu hawana maji. Na yanapoletwa hawana 2000 za kila wiki ili waunganishiwe maji.
Miaka 60 ya kujitawala mwananchi anaona ni ajabu kupata maji.
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria.
Amandla...
Kumbe majirani nilifikiri Tanzania nzima. Okay!Mkuu ukoo wangu na majirani zangu watanikumbuka kwa mema niliyowafanyia.
Mm siyo public figure, umri wa dikteta na wangu ni mbingu na ardhi one day nitakuwa public figureKumbe majirani nilifikiri Tanzania nzima. Okay!
Wenziontulisha saau alale pema peponi...endelea kumkumbuka kwa niaba ya walipata majiNimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za kijamii.
Awamu zote kabla ya JPM zilipita,bila kuwaletea wana Tabora maji safi na salama. JPM aliwahi kusema, ukiomba mkopo ili upeleke huduma ya maji Tabora, wahisani wanakataa.... JPM aliamua kutumia hela anayokusanya (Kodi) kupeleka maji katika mkoa mkubwa wenye historia iliyotukuka.
Kilichoniliza sio JPM kufa, wala kuleta maji Tabora. Kilichoniliza, kuna bibi mmoja, aliniomba hela 2,000...nikasita kumpatia maana anaonekana ni mlevi. Mimi msabato, ni makosa kumpatia mtu hela akanunue kitu kitakachomuangamiza.
Nikamuuliza ya nini 2000, akanambia "Mjukuu wangu, hii naenda kulipia mkopo wa bomba la maji" Nilishituka, ikabidi nimuite dogo mmoja, alikuwa anapita, nikamuuliza kama kuna mikopo ya hivyo.
Dogo akanambia baada ya maji kufika wilaya ya nzega kipindi cha JPM, changamoto ilikuwa wananchi wengi hawakuwa na uwezo wa kuvuta mabomba ya maji kutoka ziwa Viktoria. Serikali ya wanyonge, kupitia rais Magufuli akatoa order, kila asiyenauwezo wa kuvuta bomba la maji, atakopeshwa, atakuwa analipa 2000 kila wiki mpaka itakapo timia 40,000.
Bibi yule nilimpa 2000. Sasa leo Napita zangu mitaa ile yule bibi ananiletea risti inayodhibitisha kalipia maji. Nilishangaa sana. Nilimpa 20,000 ili akalipe deni lote. Baada ya kufika, napolalaga, nilianza kulia baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Tabora nayoifahamu mimi, leo ndoo mbili shilingi 50? Miaka 60 bila maji, Magufuli akaleta maji.
AsanteMagufuli- Kweli vizuri havidumu
Sifia, lakini ukweli uwe wazi. Maji kutoka ziwa victoria mradi si kwa fedha ya ndani, ni mkopo wa zaidi ya 600b toka India, (rejea hotuba ya Magufuli akiwa Tabora wakati wa uzinduzi wa mradi huo). Ujio wa maji hayo hakuna ahueni kwa mkoa wa Tabora, gharama yake ni mara mbili ya maji yanayo zalishwa toka mabwawa ya Kazima na Igombe. Mamlaka za maji zina madeni makubwa kwa msimamizi wa mradi huo, KASHIWASA, kwa sababu ya uaghali wa maji wanunuayo. Serikali imezigomea kuanza kutumia bei mpya ilioidhinishwa kuanza July 2020. Mgao wa maji unao ushuhudiwa mkoani Tabora ni kuendelea kutumia vyanzo vya maji vya zamani na kukwepa hayo ya mv Victoria kwa gharama yake.Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za kijamii.
Awamu zote kabla ya JPM zilipita,bila kuwaletea wana Tabora maji safi na salama. JPM aliwahi kusema, ukiomba mkopo ili upeleke huduma ya maji Tabora, wahisani wanakataa.... JPM aliamua kutumia hela anayokusanya (Kodi) kupeleka maji katika mkoa mkubwa wenye historia iliyotukuka.
Kilichoniliza sio JPM kufa, wala kuleta maji Tabora. Kilichoniliza, kuna bibi mmoja, aliniomba hela 2,000...nikasita kumpatia maana anaonekana ni mlevi. Mimi msabato, ni makosa kumpatia mtu hela akanunue kitu kitakachomuangamiza.
Nikamuuliza ya nini 2000, akanambia "Mjukuu wangu, hii naenda kulipia mkopo wa bomba la maji" Nilishituka, ikabidi nimuite dogo mmoja, alikuwa anapita, nikamuuliza kama kuna mikopo ya hivyo.
Dogo akanambia baada ya maji kufika wilaya ya nzega kipindi cha JPM, changamoto ilikuwa wananchi wengi hawakuwa na uwezo wa kuvuta mabomba ya maji kutoka ziwa Viktoria. Serikali ya wanyonge, kupitia rais Magufuli akatoa order, kila asiyenauwezo wa kuvuta bomba la maji, atakopeshwa, atakuwa analipa 2000 kila wiki mpaka itakapo timia 40,000.
Bibi yule nilimpa 2000. Sasa leo Napita zangu mitaa ile yule bibi ananiletea risti inayodhibitisha kalipia maji. Nilishangaa sana. Nilimpa 20,000 ili akalipe deni lote. Baada ya kufika, napolalaga, nilianza kulia baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.
Tabora nayoifahamu mimi, leo ndoo mbili shilingi 50? Miaka 60 bila maji, Magufuli akaleta maji.
AsanteMagufuli- Kweli vizuri havidumu
Juhudi zipi? Unacheti Cha milembe niniYou Must be wrong bro, ungesema hivi Tanzania nzima Inaweza Kumsahau ila sio kwa Wapinzani na na waliokataa Kuunga mkono Juhudi.
Mtajiliwaza Sana lakini yamepita...ni muda wenu Sasa kulalamikalalamika Kama walivyokuwa wapinzani kipindi kile...kinachonishangaza hivi Sasa wote wanaokosoa utawala wa mama ni wana ccm...utawagundua tu maana lazima watataja jina la marahemu..mtanuna mpaka mtaumwa Kama musiba...nasikia anapigania afya yakeUpo sahihi mkuu,
Rais haleti maji ila kodi za wananchi zinaleta maji.
JPM alikubali kutukanwa na kuambiwa anachukua kodi kwa nguvu ili apate hela ya kupeleka maji Tabora.
Kukusanya kodi kwa wafanyabiashara waliozoea kusamehewa na kukwepa kodi sio mchezo mkuu.
Si unajua kuna baadhi ya wafanyabiashara walihamishia biashara zao nje ya nchi ili kukwepa kodi? Akiwepo tajiri Freeman Mbowe wa Moshi?
Miaka yote ya uhuru, kodi imekusanywa, Tabora ni miongoni mwa mikoa inayotoa mapato makubwa sana, mbona maji hayakuwepo?
JPM will forever live in peoples's hearts.
Ur [emoji3590]..may be onlyUpo sahihi mkuu,

Shida iko wapi Kama zinasaidia .. heri Nani aliyetoa au aliyeaidi baada ya kupata Kodi akakataa kutoa Tena kwa dhiaka?Juzi nimesikia Rais katoa hela kula Jimbo,
Mh akasema tumpigie makofi.
Kuna mbunge mmoja akitoa mfano wa Mobutu bungeni alikoma ubishi jinsi alivyosakamwa...Kiko wapi sasaRais asipoleta maji mbona huwa unamlaumu?
Alafu hii mada inaongelea uwanja wa ndege chato au maji tabora?
Kila mtanzania atamkumbuka kwa aliyomkuta chini ya utawala ile.You Must be wrong bro, ungesema hivi Tanzania nzima Inaweza Kumsahau ila sio kwa Wapinzani na na waliokataa Kuunga mkono Juhudi.
Ndy maana tulisema nchi iliongozwa na washamba.Upo sahihi mkuu,
Rais haleti maji ila kodi za wananchi zinaleta maji.
JPM alikubali kutukanwa na kuambiwa anachukua kodi kwa nguvu ili apate hela ya kupeleka maji Tabora.
Kukusanya kodi kwa wafanyabiashara waliozoea kusamehewa na kukwepa kodi sio mchezo mkuu.
Si unajua kuna baadhi ya wafanyabiashara walihamishia biashara zao nje ya nchi ili kukwepa kodi? Akiwepo tajiri Freeman Mbowe wa Moshi?
Miaka yote ya uhuru, kodi imekusanywa, Tabora ni miongoni mwa mikoa inayotoa mapato makubwa sana, mbona maji hayakuwepo?
JPM will forever live in peoples's hearts.
Kutajwa Magufuli ni jinsi alivyo kuwa anaisigina katiba na kutoa maelekezo kwa mahakama.Hawa nao vp raisi ndiye anayeleta maji mbona kina mbowe walipotaka kufungwa mlisema magufuri kawaweka lumande miezi miwili
Unajuaje utafika kwenye umri huo wakati uko hatarini hivyo na magonjwa kama covid 19 na ukimwi kwa umalaya wako huo??Mm siyo public figure, umri wa dikteta na wangu ni mbingu na ardhi one day nitakuwa public figure
Hivi Rais ndio analeta sehemu maji?
Haya mambo ndio yanatufanya tushinikize katiba mpya
"UGATUZI" watu wapate maendeleo wanayoyataka kwa kupanga wenyewe sio kupangiwa na yeyote
Maana watu ndio walipa kodi sio mtu anaamka kisa yeye ni Rais anajenga uwanja wa ndege kwao na Hifadhi ya wanyama
Hivi wananchi wa Chato kipaumbele chao ni Uwanja wa ndege na Mbuga ya wanyama?
Wewe kula kulala unajua nini katika uchumi wa dunia. Subiri upate chakula cha mchana then uangalie movie and lastly ukalale.
Sister ako kakwambia hivyo?Unajuaje utafika kwenye umri huo wakati uko hatarini hivyo na magonjwa kama covid 19 na ukimwi kwa umalaya wako huo??