Tanzania old Railways earns more cash πŸ’° than new Kenyan SGR πŸš‚

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Shirika la Reli Tanzania TRC limefanikiwakukusanya Shilingi Bilioni 36 kwa mwaka wa Fedha 2017/18 ikiwa ni ongezeko la shilingi Bilioni 13 kilinganishwa na makusanyo waliyoyapata mwaka wa fedha ulioshia June 2016 hatua inayotajwa kusababishwa na ufanisi wa kubana mianya.
 
I knew this was going to happen. TRC wanapiga mzigo sana siku hizi. Huduma zao zimekua na uweledi na vichwa vime ongezeka. Waki endelea hivi itarahisisha upatikanaji wa fedha kwa ajili ya SGR.
 
A Tanzanian Dick is bigger than a Kenyan Dick. Useless threads that do NOT make head or tail.
 
Nilidhani kutakuwa na comparison ya mapato kumbe ni ashiki tu ya kuendeleza majigambo!
 
I knew this was going to happen. TRC wanapiga mzigo sana siku hizi. Huduma zao zimekua na uweledi na vichwa vime ongezeka. Waki endelea hivi itarahisisha upatikanaji wa fedha kwa ajili ya SGR.
Na Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ ilivyoamua kupitisha shehena yake Tanzania ndio imefanya mambo yazidi kunoga
 
Ulitakiwa ulete figure za sgr hapo unakuwa unajenga hoja
Mkuu wewe mgeni jukwa hili! Maana ungekua unapitaga humu usinge hoji hilo. Ila usijali watazileta wenyewe zao zakupikwa then tuta waumbua kwa kuwaletea za ukweli. Ndivyo mambo yanavyo endaga humu. Karibu sana
 
Tunajua ukuwaji wa uchumi Tanzagiza ni 3% sasa hata hii ya TRC ni cooked figures kuwafurahisha wananchi sanasana wale wa vijiweni ambao ndio wengi na hawawezi kuelewa data. cc Zitto
 
Kwa tunaojua hali ya SGR ya kenya hatuhitaji comparison baada ya hii taarifa so far BRT is doing great than their SGR
BRT hii ya DART ambayo abiria tunayoilalamikia kila siku? BRT hii ambayo kulipa wafanyakazi wake tu ni mtihani?
 
Kwaiyo aijapata faida? Sasa kamaa aijapata faida huu Uzi usinge kuwepo

Ahaaa haaa haaa
labda hesabu za siku hizi zinaonesha kuwa makusanyo yanapanda faida inashuka.

tehteh teh tihiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…