REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Shirika la Reli Tanzania TRC limefanikiwakukusanya Shilingi Bilioni 36 kwa mwaka wa Fedha 2017/18 ikiwa ni ongezeko la shilingi Bilioni 13 kilinganishwa na makusanyo waliyoyapata mwaka wa fedha ulioshia June 2016 hatua inayotajwa kusababishwa na ufanisi wa kubana mianya.