Tanzania one ametoka shule gani

Tanzania one ametoka shule gani

wejja

Senior Member
Joined
Nov 1, 2011
Posts
126
Reaction score
16
Wadau wa jf naomba mnijulishe tanzania one (T.O) wa form four 2012 ametokea shule gani na pia matokeo yake
ikibidi hata shule zilizoko kumi bora
 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.

Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni 23520 kuanzia daraja la I hadi la IV huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.

Shule bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbeya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys Dar es Salaam, Marian Girls Bagamoyo na Simini,hizo ndizo zilizopo kwenye tano bora huku shule nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary. Source ni michuzi
 
POA MKUU JAPO SIJAMPATA HUYO T.O
 
mbona waliofaulu kwa daraja la nmne hawajabainishwa?
 
nadhani katoka feza boys coz ndo nimeona one ya point 9
 
kweliiiiiiiiiiiiiiii matoto ya sasa hiviiiiiiiii ni majinga sijswahiiii ona tatizo mapenziii na facebook zimewamalizaaaaaaaaa
 
Seminarini enzi zetu tulikuwaga hatunaga devision vi lakini sasa tunazo nimeona seminari nyingi tulizokuwa tunashindana nazo enzi zile zote zina vi.... hali ni mbaya aisee na devision one average wameanzia point 13 wakati tulikuwaga tunapiga 7,8 kazaa na tisa kibao enzi zetu Uru seminary. Sasa sijui nini kimetokea yani wamebolonga mpaka basi yani unaangalia matokeo kuna A moja tuu kati ya watoto 40 na masomo saba....... Sasa walimu na watoto walikuwa wanafanya nini miaka yote minne hiyo. Sijawahi ona katika kipindi changu cha maisha, au ni utandawazi wa facebooking na googling unatumaliza?
 
future massive cheap labour

Mkuu siyo cheaap labor, bali ndiyo recipe ya vurugu na fujo katika taifa. maana kwanza watakuwa hawana ajira au kitu cha kuwafanya wawe busy, matokeo kulalama kwingi na kuzurura. Kweli mfumo wa elimu yetu uangaliwe upya, japo magamba wanasema mambo yako sawa ktk secta ya elimu. haya ndiyo matokeo. Yaani kuna shule zimefeli mpaka unapata ganzi. nadhani serikali pia ifanye kitu kwa waalimu. Huyu mwalimu ambaye baada ya saa za kazi anaenda kuuza mitumba, atamfundisha nani aelewe na aje afaulu mtihani?:frusty:
 
Serikali ikifaulisha wote unategemea ajira zitatoka wapi? Ni mkakati wa kupunguza wasomi nchini, ajira hakuna
 
Back
Top Bottom