Tanzania opens the largest and most advanced general hospital in East Africa

Ukijaribu kuuliza mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne miaka 20 iliyopita ukamuuliza EAC ina wanachama wangapi akakujibu inao 3 usimshambulie bali mwambie kuwa sasa hivi zimeshafika 6, huu ni mfano tu unapaswa kuchukua ili ujue maana ya hizo data unazosema juu ya Kenya kuwa the best kulinganisha na nchi nyingine. Kwa ufupi hizo data ni outdated na zinaweza kutawala kwa muda tu then zitafutwa na TZ stay tuned
 

Ndio hivyo sasa, ukileta uzi wa kipuzi bila facts, unakojolewa kwa kwenda mbele. Nimewaambia kwenye ulingo wa afya, tunawashinda kwa kila kitu, hamjafikia kwenye level ya kutumia msemo 'Best in East Africa and central Africa' kwa chochote kile.
 

Mimi nazungumzia data za leo, wengi wetu miaka 20 ilyopita tulikua shule na baba zetu wakati huo walifanya kazi ya kuitawala EAC yote kwa kila kitu, leo hii sisi vizazi vyao tunaendeleza huo muziki.
 
Cha kwanza na chenye umuhimu wa kuanza nacho ni facilities,, majengo na vifaa tiba. Ujuzi na uwezeshwaji vitafuatia Mkuu.
Nakubaliana na wewe...UJUZI na UWEZESHAJI vinafuatia na sio MAJIGAMBO na MATAKO KULIA MBWATA vinafuatia.

Nilichopingana na muanzisha mada si unachokijibu, ni kiherehere cha ndugu yetu kwenda kuwapostia Wakikuyu majigambo ya kuwa tuna SERVICES top in EA & C. Papara ya nini hadi aliaibishe taifa tuonekane wote hatuna akili?

Huduma nzuri hailetwi na ngonjera, tukiwa na huduma nzuri utawaona wageni wanakimbilia hapa. Mfano mzuri ni Jakaya Kikwete Cardiac Institute, ina huduma nzuri, wanakuja wenyewe kutoka kwenye nchi zao.

Tuache midomo, tufanye kazi
 
Tatizo mazee watz mnaleta ngonjera nyingi.
Njooni kwanza mombasa tuwape halua akili ziwakae sawa.
 
Jameni, punguzeni kidogo
The Mater hosptal Nairobi ni hositali spesheli ya magonjwa ya moyo, KNH wakati wa bageti alisema KNH inafanya both Open and closed kwa bei moja ya 200k, meneja wa KNH alikua anaiomba serekali kuongeza subsidy ya closed heart surgery

About Cardiac Programme - The Mater Hospital

Fortunately in the last 20 years investigations and management of heart disease has made great strides. Closed and open heart surgeries as well as cardiac catheterization procedures are now available in Kenya.

A few years ago,only those from well to do backgrounds could access this treatment and they usually went overseas for it. The poor were destined to live lives of chronic ill health and die prematurely.

In1995, Mater Hospital started its own heart program and the first Open Heart Surgery was done in 1996. Now more than 2500 heart procedures (both diagnostic and therapeutic) have been carried out.

The Mater Heart Program is now well established and the hospital has all the facilities and expertise required to investigate and carry out corrective surgery. “Missions” from overseas comprising of surgeons, cardiologist, anaesthetists, nurses and ICU experts visit Mater regularly. In this way transfer of skills ensures that the Mater Program is second to none in East Africa.
 
Mbona hueleweki jombaa?, mleta mada amesema Tanzania imezindua the best Hospital, akimaanisha majengo, vifaa na miundo mbinu ya Hospital, sasa kosa lake ni nini mbona unataka kutuaibisha humu ndani?, hivi ukijenga nyumba zuri na ukaweka makochi mazuri lakini mke wako hajui kupika chakula kizuri, utasema nyumba sio nzuri?, hivi uwanja ule wa Taifa ulivyo mzuri lakini pitch ikiwa na kipara utasema uwanja sio mzuri?

Kitu cha kwanza muhimu ni kuwepo kwa jengo zuri na vifaa vyote na madawa, hivyo vinatosha kusema una hospitali nzuri, huduma zikiwa nzuri unasema Hospitali ile ni bora, yaani ni nzuri kimajengo na miundombinu, pia huduma zake ni nzuri.
 
Meanwhile Mkiendelea kupiga domo kama kawaida yenu, Kenya inazidi kuchkua uskani ukanda huu kwa medical tourism haswaa ndani ya private hospitals kulingana una UN

Kenya takes the lead in medical tourism
Private health and wellness facilities are setting Kenya apart as one of the key medical tourist destinations in Africa, a new report shows.

The Economic Development in Africa Report 2017 released by United Nations Conference on Trade and Development (Unctad) last week shows Kenya is one of Africa’s top beneficiaries of cross-border travel for medical purposes.

Its health and wellness facilities are wooing hundreds of visitors from neighbouring states and helping to boost tourism industry.
Kenya takes the lead in medical tourism

“The medical tourism is marked by African nationals seeking high-end specialised medical services and primary health-care services, increasingly in other African countries,” the report titled Tourism for Transformative and Inclusive Growth states.

READ: Kenya eyes portal for medical tourists

Apart from Kenya, Egypt, Mauritius, Morocco, South Africa and Tunisia are also cited as top destinations for European and Africans seeking medical services.

The report states that a number of Europeans also pour into Africa every year seeking low-cost, high-quality specialised medical services and cosmetic and reconstructive surgery.

Generally, four out of 10 international tourists in Africa come from the continent itself with estimates suggesting that the intraregional medical tourism market segment is growing.

“Demand by medical tourists for specialised medical care can stimulate job creation for highly skilled health professionals who provide such services,” states the Unctad tourism report.

READ: Embu inks deal with US, India hospitals

The report also cites wellness tourism — travel for the pursuit of enhancing physical well-being — as another growing market segment that has taken route in Africa.

The continent has experienced a growing demand for homeopathic treatments and traditional therapies from international and domestic tourists, the report states.

It identifies the Sub-Saharan Africa among the fastest growing markets for wellness tourism, with significant growth in the number of wellness tourists and spa revenues.

“The market segment is increasingly emerging elsewhere on the continent, including in Gabon, the Gambia, Ghana, Kenya and Nigeria,” it states, adding that Egypt, Mauritius, Morocco, South Africa and Tunisia already have developed niche markets.

READ ALSO: Vision 2030 chief pushes for medical tourism

Kenya’s health tourism Strategy 2014– 2018 seeks inbound medical tourism from sub-Saharan Africa.

It also targets to increase health-care services exports “through the provision of high-quality health-care services and infrastructure.”
 
Hivi sijakuelewa, kuwa na watalii wengi ni sawa na kuwa na vivutio vingi vya utalii?, hadi last year, Kenya imepokea watalii sawa au kuizidi kidogo Tanzania, je ni nchi gani yenye vivutio vingi na bora vya utalii?, acha kugeuza topic hapa, uzi unazungumzia kuwepo kwa best Hospitals and facilities, not number of people who are treated or using the facilities...umeishiwe wewe...
 
Sasa mtu mpuuzi kama wewe nani akupe facts, any way ngoja nikupe fact moja nione kama una uwelewa wa mambo
1)Tanzania tunafanya non invasive heart surgery, a process known as catheterization, tunatumia cathlab, Kenya mlishawahi fanya, je mnayo hiyo cathlab?
Se connecter à Facebook | Facebook
 

Unazidi kudhihirisha ulivyo mjinga, sasa unaniuliza kama tunayo huku Kenya, ina maana hukua na fact kama tunayo au hatuna na tayari ushasifia kibamia chako. Vitu vyote mnavyoanza kuvishangaa hapo Tanzania, sisi tayari tunavyo.

Hii hapa mashini ya Catlab iliyopo Mater hospital Kenya
Catheterization Lab - The Mater Hospital

 
Mimi ninakuuliza ambayo ni accessible kwa wananchi wa kawaida, sio hiyo iliyopo private Hospital wananchi hawawezi kuitumia imekaa kama picha tu, wewe ni bwege sana, ndiyo sababu unashabikia medical tourism wakati wananchi wenu wa kawaida wanakuja kujazana katika public Hospital za Tanzania kwa sababu serikali imeachia huduma zote za msingi mikononi mwa wafanya biashara..stupid..
 
Tuombe na watu waugue sasa tusijekosa wateja

last June I was in Sweden. one of their big hospitals turned into a research unit because of lack of patients. there is a very low sickness rate in that Scandinavian country.

likewise if we are going to face a same problem, will turn it into other thing which will give both economic/social and financial internal rate of return.
 
ukiona unashindwa unaanza kujifanya dunderhead. Medical turist hajakuja kuangala vivutio vya kitaali. hua anakuja kutibiwa hospitalini kama sababu ya kuingia nchini...kawaida mtu mgonjwa huwa anataka apone kwahivyo atachagua hospitali ambayo ina sifa za kutibu vizuri na bageti ya kadri.......


Medical tourism au pia hospital-to-hospital referals huwa ni mmojawepo wa vigezo vya kujua kama kweli hositali ni nzuri, mtu hawezi kukata tiketi ya ndege kwenda nchi ya ng'ambo yoyote tu kwenda kutibiwa. wengi wao hua wanataka the best and most cost effective treatment na hapa Africa ni kina Egypt, Mauritius, Morocco, South Africa na Tunisia ndio wanaojulikana kuwa na best hospitals African nzima, lakini sasa Kenya pia imeanza kusifika kimataifandio maana unaona hao watalii wgonjwa wanaanza kuongezeka kila mwaka.
The best proof that you are the best is for someone else to say it, not for you to tell yourself and more medical tourists coming to Kenya is one good proof that we have the best hospitals and doctors in the region
 
ukiona unashindwa unaanza kujifanya dunderhead. Medical turist hajakuja kuangala vivutio vya kitaali. hua anakuja kutibiwa hospitalini kama sababu ya kuingia nchini...kawaida mtu mgonjwa huwa anataka apone kwahivyo atachagua hospitali ambayo ina sifa za kutibu vizuri na bageti ya kadri.......


Medical tourism au pia hospital-to-hospital referals huwa ni mmojawepo wa vigezo vya kujua kama kweli hositali ni nzuri, mtu hawezi kukata tiketi ya ndege kwenda nchi ya ng'ambo yoyote tu kwenda kutibiwa. wengi wao hua wanataka the best and most cost effective treatment na hapa Africa ni kina Egypt, Mauritius, Morocco, South Africa na Tunisia ndio wanaojulikana kuwa na best hospitals African nzima, lakini sasa Kenya pia imeanza kusifika kimataifandio maana unaona hao watalii wgonjwa wanaanza kuongezeka kila mwaka.
The best proof that you are the best is for someone else to say it, not for you to tell yourself and more medical tourists coming to Kenya is one good proof that we have the best hospitals and doctors in the region
 

I dought if your Kenyan, hata kama unaipenda nchi yako ni upuuzi kuiponda kwa kujifanya mkenya. U sound tanzanian by every word u write
 

Ukiluza swali kibwege unajibiwa kibwege, uliuliza Kenya na hukua specific wapi. Kwa taarifa yako hicho mnachojisifia na kushanga shangaa leo tumekua nacho hata kwenye hospitali ya KNH na ipo accessible hata kwa mwananchi wa kawaida.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…