Tanzania opens the largest and most advanced general hospital in East Africa

Tanzania opens the largest and most advanced general hospital in East Africa

You've changed tune in a matter of hours, weren't you yapping a few hours ago ******** was coming to Kenya for inauguration. Where is your famous coward of Tanganyika President amongst other East African Heads of State?
Yes, initially he planned to come, but soon he realized that $38M will be used while majority of Kenyans are dying of hunger, cholera is killing MCAs in Nairobi, there is water rationing in Nairobi and other parts of the country, he decided not to be part of that. I really support him on this.
 
Ameogopa superhighway.
 
Shida sio ukubwa wala gharama z jengo....

Iwe na vifaa vya kisasa....sio kuambiwa "kipimo kibovu wiki nzima labda ukapime nje ulete majibu"

Dawa zipatikane

Customer care iwe nzuri

Madr na manesi wawe na staha
 
Vipi huko Nairobi, tulitegemea marais 20 watahudhuria akiwemo Netanyau na Magufuli, vipi wamefika wangapi?
 
Pia lako limekuwa kaa la moto halishikiki...Hahahaha
Kenya ni nchi ya hovyo sana haijawahi tokea, pamoja na madeni, njaa, ukame, upungufu wa maji, kukatika katika umeme hovyo, migomo isiyokwisha, bado inatumia pesa hovyo bila kujali hata kidogo, that is MAN EAT MAN SOCIETY
 
Ati Mombasa inashindana na Dar? Ambia ******** awachukuwe omba omba wake toka Kenya.
 
Ati Mombasa inashindana na Dar? Ambia ******** awachukuwe omba omba wake toka Kenya.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Nitaendelea kukupa misumari ya moto bila kuchoka. Eti Uhuru ameruhusu waafrika waingie Kenya bila visa, hicho ni kicheko cha mwaka, ni sawa na Somalia iondoe visa na itegemee wageni kwenda kuwekeza, Kenya imeshavurugika, hakuna anayetaka kuja huko zaidi ya refugees toka Somalia na South Sudan tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sindano inazidi kukuingia.
 
Sindano inazidi kukuingia.
Ukitaka kuja Bongo andaa passport, hatutaki kusikia habari ya ID huku, na tutaanza kurudisha visa kwa wakenya mkijaribu kuleta ngebe, tulieni kimya kama mnanyolewa, mtuache tufanye vile tunapenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wapi nimesema Jakaya aje kutibiwa hapo ???

Unamsifiaje mtu aliyejenga hospitali ambayo unakiri kwamba yeye mwenyewe hawezi kutibiwa hapo?

Mpishi kapika kitu ambacho yeye mwenyewe hathubutu kukionja, jinsi kilivyo chini ya kiwango, unamsifia? Ridiculous, very.
 
Wewe ni mpumbavu sana.
Ulitaka Rais wa nchi atembelee kila hospitali iliyotengenezwa na hela wa wananchi ??
Kwenda kutibiwa au kutokutibiwa yeye hapo sisi haituhusu kabisaaaa na wala haliniumizi kichwa kabisa.

Jambo la muhimu kwangu ni kwamba Hospitali imejengwa, Alitimiza wajibu wake kama raisi na kubwa zaidi ni kwamba watu wanapata huduma bora kabisa kwenye huu Ukanda wa Afrika Mashariki. Hiyo hospitali ingekuwa haitoi huduma bora basi ningekuelewa hata unacholalamika hapa.

NB : Ridiculousness, ni kuanza kumuwaza Raisi Jakaya Kikwete ambaye yeye ni mpitaji tu, bila kufikiria au kupendekeza nini kifanywe hapo ili kuboresha huduma kwa Watanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Ujumla.
Kama wewe unakaa na kuanza kumuwaza mtu unataka na mimi niwaze ujinga-ujinga na majungu ya kipumbavu kama haya ??? (Haiwezekani hata siku moja)

Grow up!!
 
Back
Top Bottom