joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Yes, initially he planned to come, but soon he realized that $38M will be used while majority of Kenyans are dying of hunger, cholera is killing MCAs in Nairobi, there is water rationing in Nairobi and other parts of the country, he decided not to be part of that. I really support him on this.You've changed tune in a matter of hours, weren't you yapping a few hours ago ******** was coming to Kenya for inauguration. Where is your famous coward of Tanganyika President amongst other East African Heads of State?
Ameogopa superhighway.Yes, initially he planned to come, but soon he realized that $38M will be used while majority of Kenyans are dying of hunger, cholera is killing MCAs in Nairobi, there is water rationing in Nairobi and other parts of the country, he decided not to be part of that. I really support him on this.
Wewe unaunga mkono matumizi hayo ya hovyo?Ameogopa superhighway.
Ati ulisema ******** anaifanyia nini ile port ndogo kuliko ya Mombasa?Wewe unaunga mkono matumizi hayo ya hovyo?
Unaunga mkono matumizi hayo ya hovyo wakati milioni ya wakenya wanakufa njaa?Ati ulisema ******** anaifanyia nini ile port ndogo kuliko ya Mombasa?
Ati Mombasa inashindan na Dar?Unaunga mkono matumizi hayo ya hovyo wakati milioni ya wakenya wanakufa njaa?
Hahahaha swali limekua kaa la moto, halishikiki[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ati Mombasa inashindan na Dar?
Pia lako limekuwa kaa la moto halishikiki...HahahahaHahahaha swali limekua kaa la moto, halishikiki[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kenya ni nchi ya hovyo sana haijawahi tokea, pamoja na madeni, njaa, ukame, upungufu wa maji, kukatika katika umeme hovyo, migomo isiyokwisha, bado inatumia pesa hovyo bila kujali hata kidogo, that is MAN EAT MAN SOCIETYPia lako limekuwa kaa la moto halishikiki...Hahahaha
Ati Mombasa inashindana na Dar? Ambia ******** awachukuwe omba omba wake toka Kenya.Kenya ni nchi ya hovyo sana haijawahi tokea, pamoja na madeni, njaa, ukame, upungufu wa maji, kukatika katika umeme hovyo, migomo isiyokwisha, bado inatumia pesa hovyo bila kujali hata kidogo, that is MAN EAT MAN SOCIETY
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Nitaendelea kukupa misumari ya moto bila kuchoka. Eti Uhuru ameruhusu waafrika waingie Kenya bila visa, hicho ni kicheko cha mwaka, ni sawa na Somalia iondoe visa na itegemee wageni kwenda kuwekeza, Kenya imeshavurugika, hakuna anayetaka kuja huko zaidi ya refugees toka Somalia na South Sudan tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ati Mombasa inashindana na Dar? Ambia ******** awachukuwe omba omba wake toka Kenya.
Sindano inazidi kukuingia.[emoji1] [emoji1] [emoji1] Nitaendelea kukupa misumari ya moto bila kuchoka. Eti Uhuru ameruhusu waafrika waingie Kenya bila visa, hicho ni kicheko cha mwaka, ni sawa na Somalia iondoe visa na itegemee wageni kwenda kuwekeza, Kenya imeshavurugika, hakuna anayetaka kuja huko zaidi ya refugees toka Somalia na South Sudan tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Uwiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sindano inazidi kukuingia.
Ukitaka kuja Bongo andaa passport, hatutaki kusikia habari ya ID huku, na tutaanza kurudisha visa kwa wakenya mkijaribu kuleta ngebe, tulieni kimya kama mnanyolewa, mtuache tufanye vile tunapenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sindano inazidi kukuingia.
Wapi nimesema Jakaya aje kutibiwa hapo ???
Unamsifiaje mtu aliyejenga hospitali ambayo unakiri kwamba yeye mwenyewe hawezi kutibiwa hapo?
Mpishi kapika kitu ambacho yeye mwenyewe hathubutu kukionja, jinsi kilivyo chini ya kiwango, unamsifia? Ridiculous, very.