bora hata tz kuna vyama vya siasa kenya kuna majangili ya siasa, yahani ni mwendo wa kuhunganisha makundi ya majangili kisha mnaita vyama vya siasaMumefuta upinzani kabisa, Mbowe kachezea kichapo ameufyata haongei tena, Lissu kwanza ndio Tanzania ashaipa kisogo baada ya marisasi, sauti iliyokua imesalia ni ya Zitto, naye ndiye huyo katiwa lokup, waliosalia ni panya buku wasio na sauti yoyote.
obora hata tz kuna vyama vya siasa kenya kuna majangili ya siasa, yahani ni mwendo wa kuhunganisha makundi ya majangili kisha mnaita vyama vya siasa
Halafu ujanijibu inshu yangu, kwani yule jamaa aliyekua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya kenya ni kitu gani kilimkuta?
ππ kunyaland hivi chris msando unamjua yule aliyekua mkurugezi wa tume ya uchaguzi kenya?o
hapo tanzagiza mnaambukizana ujinga! ebu taja jina la huyo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi unayesema kauliwa...
hapa sio vijiweni tandale, Chris Msando alikuwa meneja wa ICT na sio mara mkurugenzi wa tume ya uchaguzi Kenya, mara mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya. Propaganda pia zinahitaji usome na ujieleweshe sio kukariri upuuzi tu. Na kwa ujumbe tu, kesi ya mauaji ya Chris inaendelea kortini na aneyetuhumiwa yupo rumande. Usilinganishe Kenya na meffi kama tanzagiza.ππ kunyaland hivi chris msando unamjua yule aliyekua mkurugezi wa tume ya uchaguzi kenya?
ππ mbuzi nyigine toka kariobang inaongea, kwa vyovyote vile awe mkurugenzi sijui mwenyekiti lakini si mlimudedisha, kwa hiyo kisa alikua kitengo cha ICT alistahili kufa?hapa sio vijiweni tandale, Chris Msando alikuwa meneja wa ICT na sio mara mkurugenzi wa tume ya uchaguzi Kenya, mara mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya. Propaganda pia zinahitaji usome na ujieleweshe sio kukariri upuuzi tu. Na kwa ujumbe tu, kesi ya mauaji ya Chris inaendelea kortini na aneyetuhumiwa yupo rumande. Usilinganishe Kenya na meffi kama tanzagiza.
nimekwambia usilinganishe Kenya na upuuzi, leta ushahidi kuwa waliompiga lissu risasi walikamatwa!ππ mbuzi nyigine toka kariobang inaongea, kwa vyovyote vile awe mkurugenzi sijui mwenyekiti lakini si mlimudedisha, kwa hiyo kisa alikua kitengo cha ICT alistahili kufa?
Sasa mbona kenya yenyewe tayari ni upuuzi sasa nishindwaje kulinganisha kenya na upuuzinimekwambia usilinganishe Kenya na upuuzi, leta ushahidi kuwa waliompiga lissu risasi walikamatwa!
bora hata tz kuna vyama vya siasa kenya kuna majangili ya siasa, yahani ni mwendo wa kuhunganisha makundi ya majangili kisha mnaita vyama vya siasa
Halafu ujanijibu inshu yangu, kwani yule jamaa aliyekua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya kenya ni kitu gani kilimkuta?