CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
bora hata tz kuna vyama vya siasa kenya kuna majangili ya siasa, yahani ni mwendo wa kuhunganisha makundi ya majangili kisha mnaita vyama vya siasaMumefuta upinzani kabisa, Mbowe kachezea kichapo ameufyata haongei tena, Lissu kwanza ndio Tanzania ashaipa kisogo baada ya marisasi, sauti iliyokua imesalia ni ya Zitto, naye ndiye huyo katiwa lokup, waliosalia ni panya buku wasio na sauti yoyote.
Halafu ujanijibu inshu yangu, kwani yule jamaa aliyekua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya kenya ni kitu gani kilimkuta?