Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
umeelewa nilichokiandika ama ni kukurupuka tu? pumbavuu mkubwa...Usiilinganishe TZ na mambo yenu ya kijinga.
unawajua wapokot wewe?? hehe....ur very ignorant my fren...wapokot wangewachinja nyote na kuchukua mali yao kana kwamba hamna chochote wamefanya...fanya utafiti kidogo...hawa jamaa wanaenda mpaka Sudan kurudisha ng'ombe zao zikiibiwa na wakitoka kule wanaacha mto wa damu ukitiririka....Unachekesha wewe, wahamishieni huku kusini peleka Masai kule alafu ushuhudie.
Waje wapokot, waomoro, wasomali, wasudan na Kenya nzima. We will fvck youunawajua wapokot?? hehe....ur very ignorant my fren...wapokot wangewachinja nyote na kuchukua mali yao kana kwamba hamna chochote wamefanya...
kukurupuka tu...nimkwambia fanya utafiti...kenya sio nchi ya ujamaa😀😀😀😀 ambapo mmezoea kujikusanya chini ya mti na kuharibu haribu hewa mnapo suluhisha migogoro kwa mazungumzo...huko northern Kenya wanaishi na AK47...mtachinjwa mirija na watakapomaliza wanaacha mto wa damu ukitiririka...😱😱Waje wapokot, waomoro, wasomali, wasudan na Kenya nzima. We will fvck you
Hawaeleweki hawa watu na hata vile vichwa wanasema havina mwenyewe leo kunakamati wamunda kuona kama ni vizima ili wavinunue..mkanganyiko mtupu..Waziri hapo jana amedangaya Watanzania mmiliki wa Ngombe hajulikani/hajajitokeza!
Hii inaonyesha serikali yenu na ulinzi ni dhaifu. Ndio maana hao wasomali wanawasumbua.kukurupuka tu...nimkwambia fanya utafiti...kenya sio nchi ya ujamaa😀😀😀😀 ambapo mmezoea kujikusanya chini ya mti na kuharibu haribu hewa mnapo suluhisha migogoro kwa mazungumzo...huko northern Kenya wanaishi na AK47...mtachinjwa mirija na watakapomaliza wanaacha mto wa damu ukitiririka...😱😱
Why Kenya's cattle raids are getting deadlier
Hapo ninapingana na wewe kwa nguvu zote, wapokot hawana silaha zaidi ya AK47, sasa kwa jeshi la polisi la Kenya lenye magari yasiyopigika kwa risasi ndogondogo kitu gani kinawashinda kuwanyang'anya hizo silaha?, wapokot hawana nguvu zozote kushinda polisi wa Kenya wala usiwasifie kwa sababu ya kiushabiki, ukweli ni kwamba, wanasiasa wanawaunga mkono, hivyo kufifisha juhudi za serikali kuwadhibiti, pia ndio wanaowapelekea risasi na taarifa za kijasusi za jeshi la polisi dhidi yao, huu ni mwendelezo wa mgawanyiko uliopo Kenya, hebu tuambie wana silaha gani za kutisha hadi muwaogope kiasi hicho?kukurupuka tu...nimkwambia fanya utafiti...kenya sio nchi ya ujamaa😀😀😀😀 ambapo mmezoea kusuluhisha migogoro na mazungumzo chini ya mti...huko northern Kenya wanaishi na AK47...mtachinjwa mirija watakapomaliza wanaacha mto wa damu ukitiririka...😱😱
asante kwa kutema ujinga mtupu wa ujamaa system...😀😀😀Hii inaonyesha serikali yenu na ulinzi ni dhaifu. Ndio maana hao wasomali wanawasumbua.
🙁🙁sasa nani amesema wapokot wamewashinda polisi wa Kenya...😀😀😀hivi wewe unajua kinachozungumziwa?Hapo ninapingana na wewe kwa nguvu zote, wapokot hawana silaha zaidi ya AK47, sasa kwa jeshi la polisi la Kenya lenye magari yasiyopigika kwa risasi ndogondogo kitu gani kinawashinda kuwanyang'anya hizo silaha?, wapokot hawana nguvu zozote kushinda polisi wa Kenya wala usiwasifie kwa sababu ya kiushabiki, ukweli ni kwamba, wanasiasa wanawaunga mkono, hivyo kufifisha juhudi za serikali kuwadhibiti, pia ndio wanaowapelekea risasi na taarifa za kijasusi za jeshi la polisi dhidi yao, huu ni mwendelezo wa mgawanyiko uliopo Kenya, hebu tuambie wana silaha gani za kutisha hadi muwaogope kiasi hicho?
Sasa kama hawjashinda jeshi la Kenya inakuwaje wamiliki silaha kinyume cha sheria za nchi, tena hadharani kama hivi ulivyoweka hizi picha, na mara nyingi nimeona documentaries wakifanya mazungumzo nao wakiwa na silaha, kwa nini hatua za kuwanyang'anya zisichukuliwe?, kumbuka sifa moja wapo ya taifa kuwekwa kwenye kundi la failed state ni kuzagaa hovyo kwa silaha kama huko Northen Kenya, na Kenya ipo miongoni mwa nchi zinazotajwa kama failed state, nini maoni yako juu ya hili?🙁🙁sasa nani amesema wapokot wamewashinda polisi wa Kenya...😀😀😀hivi wewe unajua kinachozungumziwa?
Hawa wamelemea m7 na jeshi lake, sebuse nyinyi wepesi kama biskutiHapo ninapingana na wewe kwa nguvu zote, wapokot hawana silaha zaidi ya AK47, sasa kwa jeshi la polisi la Kenya lenye magari yasiyopigika kwa risasi ndogondogo kitu gani kinawashinda kuwanyang'anya hizo silaha?, wapokot hawana nguvu zozote kushinda polisi wa Kenya wala usiwasifie kwa sababu ya kiushabiki, ukweli ni kwamba, wanasiasa wanawaunga mkono, hivyo kufifisha juhudi za serikali kuwadhibiti, pia ndio wanaowapelekea risasi na taarifa za kijasusi za jeshi la polisi dhidi yao, huu ni mwendelezo wa mgawanyiko uliopo Kenya, hebu tuambie wana silaha gani za kutisha hadi muwaogope kiasi hicho?
Andika kitu kieleweke, acha uvivuHawa wamelemea m7 na jeshi lake, sebuse nyinyi wepesi kama biskuti
Mshenzi kabisa, aliyekwambia wakikuyu huwa wanahamisha mifugo ni nani? Huoni aibu wewe, ngombe wa wamaasai tz na wakikuyu wapi na wapi?Fair penalty hawa Wakenya na NGO zao ndo wanaleta migogoro Loliondo. Ushenzi wa Wakikuyu kujitwalia ardhi Kajiado county isiwe sababu ya kuvusha ng'ombe zao kwetu! Walipe fee au wajitwalie ardhi ya mababu zao toka Wakikuyu bure kama wanavyoingiza mifugo yao bure kwenye hifadhi zetu. Hii tabia ikome!
Mmenyang'anya Masai ardhiMshenzi kabisa, aliyekwambia wakikuyu huwa wanahamisha mifugo ni nani? Huoni aibu wewe, ngombe wa wamaasai tz na wakikuyu wapi na wapi?
Watozwe import duty kwani kuna importation imefanyika hapo? na ingekua wameingizwa ili kuuzwa kinyemela hiyo ni smuggling straight forward. Ukisoma EACCMA usisahau kuelewa, soma pia na sheria nyingine e.g. sheria za maliasili n.kThis is stupidity.. Tangu lini wanyama wakawa na nationality. Basi waanze kuwa auction wale nyumbu wanaohama kati ya Tanzania na Kenya... Watakaouza ng'ombe wa watu watakwenda kujibu mashtaka kwenye mahakama za kimataifa.. Wakamate watu walioingia bila vibali.. Hao ngombe watozwe import duty ambayo. Haizidi 20pc kwa nchi zisizo wanachama wa EAC na VAT isiyozidi 18pc kama ambavyo kodi. Zote zimeainishwa kwenye HS code za eac
Watendaji wa serikali wasipokuwa makini watatuingiza kwenye mgogoro mkubwa sana wa katiba ya EAC sisi na majirani zetu. Kumbuka kila siku kuna watanzania maelfu wanavuka border ya Namanga bila viza wala vibali na kwenda kufanya kazi Kenya na jioni kurudi. Unapokamata Wakenya watatu watano, jua kabisa kuna watanzania zaidi ya elfu tano nao wanaweza wakakamatwa. Hapa ni busara ya hali ya juu inatakiwa. Watanzania wengi pia wanavuka border ya Tunduma Kwenda Zambia pia kwenda Malawi bila kuwa na Viza.Wapo pia wengine wengi wanavuka kwenda Msumbiji bila kuwa na viza wala passport.Watozwe import duty kwani kuna importation imefanyika hapo? na ingekua wameingizwa ili kuuzwa kinyemela hiyo ni smuggling straight forward. Ukisoma EACCMA usisahau kuelewa, soma pia na sheria nyingine e.g. sheria za maliasili n.k
Man, they'll be fighting with a nation, that's tribes Vs a big nation.
Hao watawasumbua hizo nchi zenu. Wakizingua bongo wata*****.
Kuna top secret, miaka ya 80/70s walikuja hao wasomali wakawa wanasumbua Arusha mipakani huko, zingua sana wamasai, ilitumwa kikosi moja ya jwtz toka Monduli. Hawajawai sogeza pua tena pande hizo.
Upo sahihi mkuu ila mimi sipo deep sana na masuala ya siasa ila kodi ndo proffession yangu, hapo tutajadiliana (sio kubishana) mpaka kesho. Asante kwa concern yako lakini.Watendaji wa serikali wasipokuwa makini watatuingiza kwenye mgogoro mkubwa sana wa katiba ya EAC sisi na majirani zetu. Kumbuka kila siku kuna watanzania maelfu wanavuka border ya Namanga bila viza wala vibali na kwenda kufanya kazi Kenya na jioni kurudi. Unapokamata Wakenya watatu watano, jua kabisa kuna watanzania zaidi ya elfu tano nao wanaweza wakakamatwa. Hapa ni busara ya hali ya juu inatakiwa. Watanzania wengi pia wanavuka border ya Tunduma Kwenda Zambia pia kwenda Malawi bila kuwa na Viza.Wapo pia wengine wengi wanavuka kwenda Msumbiji bila kuwa na viza wala passport.
Kwa hiyo hili swala wakilifanyia mzaha jua kuna watanzania ziadi ya elfu hamsini ambao wanavuka border za Tanzania kwa siku ambao wakikamatwa, sijui huo msala mtaumalizaje.
Pia kwenye Dunia ya sasa tulishaweka sheria ili zitumike kutoa maamuzi. Huwezi shauriana na mkeo ukaja kukamata ng'ombe za watu na kuziuza wakati kuna EAC protocol zinazozungumzia maswala haya. Pia kuna sheria ya kodi inayozungumzia bidhaa zinazovuka mipaka baina ya nchi za EAC ambazo zinatakiwa kufuatwa.
Swala hili wewe unaweza kuliona dogo ila linaweza likaishia kuvunja jumuiya ya Afrika Mashariki kama ilivyotokea enzi za Nyerere.
Matatizo kama haya yasiposhughulikiwa kwa misingi ya protocol za jumuia ya Afrika Mashariki yanaweza yakauwa kabisa 'mzimu' (sprit of EAC) wa jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sheria za kodi hapa zinabidi zifuatwe. Watu wasiojua sheria za kodi hapa wasikanyage kabisa. TRA na Wizara inayoshughulikia mambo ya Afrika mashariki zikae chini kuhakikisha zinamaliza kabisa suala hili, lasivyo litaweza kuwaita matatani watanzania wengi sana ambao kila siku wanavuka mipaka bila vibali na kurudi nyumbani salama.
Uongozi ni hekima, uongozi ni busara, uongozi ni kufuata kanuni, sheria na katiba.
Bahati nzuri wakamataji hawakujichukulia sheria mkononi, walizipeleka mahakamani ambako hayo yote uliyoyasema ndiko kwenye jukumu la kuyatafsiri na kuyatolea maamuzi, kama ni kosa basi mahakama iliyotoa hiyo hukumu ndiyo ya kubeba lawama, lakini siamini kama hayo yote uliyoyasema mahakama haiyafahamu, nina wasiwasi kwamba wewe ndiye ambaye hufahamu vizuri sheria na taratibu za EACWatendaji wa serikali wasipokuwa makini watatuingiza kwenye mgogoro mkubwa sana wa katiba ya EAC sisi na majirani zetu. Kumbuka kila siku kuna watanzania maelfu wanavuka border ya Namanga bila viza wala vibali na kwenda kufanya kazi Kenya na jioni kurudi. Unapokamata Wakenya watatu watano, jua kabisa kuna watanzania zaidi ya elfu tano nao wanaweza wakakamatwa. Hapa ni busara ya hali ya juu inatakiwa. Watanzania wengi pia wanavuka border ya Tunduma Kwenda Zambia pia kwenda Malawi bila kuwa na Viza.Wapo pia wengine wengi wanavuka kwenda Msumbiji bila kuwa na viza wala passport.
Kwa hiyo hili swala wakilifanyia mzaha jua kuna watanzania ziadi ya elfu hamsini ambao wanavuka border za Tanzania kwa siku ambao wakikamatwa, sijui huo msala mtaumalizaje.
Pia kwenye Dunia ya sasa tulishaweka sheria ili zitumike kutoa maamuzi. Huwezi shauriana na mkeo ukaja kukamata ng'ombe za watu na kuziuza wakati kuna EAC protocol zinazozungumzia maswala haya. Pia kuna sheria ya kodi inayozungumzia bidhaa zinazovuka mipaka baina ya nchi za EAC ambazo zinatakiwa kufuatwa.
Swala hili wewe unaweza kuliona dogo ila linaweza likaishia kuvunja jumuiya ya Afrika Mashariki kama ilivyotokea enzi za Nyerere.
Matatizo kama haya yasiposhughulikiwa kwa misingi ya protocol za jumuia ya Afrika Mashariki yanaweza yakauwa kabisa 'mzimu' (sprit of EAC) wa jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sheria za kodi hapa zinabidi zifuatwe. Watu wasiojua sheria za kodi hapa wasikanyage kabisa. TRA na Wizara inayoshughulikia mambo ya Afrika mashariki zikae chini kuhakikisha zinamaliza kabisa suala hili, lasivyo litaweza kuwaita matatani watanzania wengi sana ambao kila siku wanavuka mipaka bila vibali na kurudi nyumbani salama.
Uongozi ni hekima, uongozi ni busara, uongozi ni kufuata kanuni, sheria na katiba.