Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Huyo hakimu aliyetoa hii hukumu ANAJUA SHERIA ILA HANA BUSARA! That's all I can say for now. Unahukumuje Wakenya watatu kwa kuvuka mpaka kinyemela ihali kuna Watanzania elfu tano ambao wamevuka mpaka kinyemela (on the very same day) na wakati unatoa hukumu yako unajua kabisa kuwa raia wako elfu tano na ushehe wametenda kosa kama hilo unalolihukumu?Bahati nzuri wakamataji hawakujichukulia sheria mkononi, walizipeleka mahakamani ambako hayo yote uliyoyasema ndiko kwenye jukumu la kuyatafsiri na kuyatolea maamuzi, kama ni kosa basi mahakama iliyotoa hiyo hukumu ndiyo ya kubeba lawama, lakini siamini kama hayo yote uliyoyasema mahakama haiyafahamu, nina wasiwasi kwamba wewe ndiye ambaye hufahamu vizuri sheria na taratibu za EAC
All in all tusijijengee chuki baina yetu na majirani zetu. Tusilifanye taifa letu lichukiwe na mtaifa mengine mithili ya North Korea. Tanzania imejijengea heshima kama nchi iliyopigania uhuru wa mataifa mengine barani Afrika. We have to treasure that... Isn't it?