Tanzania orders 1305 cows from Kenya sold

Tanzania's sources of law are based on three main sources. These are; Constitution, Acts of Parliament/Local Law, Customary law and/or Religious law, Received Law, International Treaties and Conventions, By laws and/or Subsidiary Legislation and Orders/Circulars.
University of Minnesota Human Rights Library

Kutokana na bandiko hili utaona kuwa hata international treaties such as EAC protocols are binding laws which our court system can cite, use in its judgement honour them and law eforncement agencies such as police needs to honor and respect...
 
Kila mtu anatakiwa kuwa na identity. Kuwa mpakani hakumaanishi identity is not something of a concern. Kwa upande mwingine kufuga kwa aina yao kwa sasa hailipi
Vipi ukiwaonya na ukawapa mifugo yao.
Suala la mipaka ni muhimu wananchi wa pande zote wakashirikiana hii mipaka ilichorowa na wazungu kugawa jamii
 
Ingekuwaje Ama hao watu wapoje?
Wao hujipanga kwa muda wa mwezi mmoja hivi na kujakufanya mashambulizi kwa jamii zilizo mpakani, hususan jamii za wachungaji ili wakomboe mifugo wao na hili wanapolifanya huacha kijiji kizima kwa maombolezo
 
Kaka mimi huwa ninakuwa mwoga sana kuzungumza kwa undani vitu ambavyo sio professional yangu, ninapenda kuzungumza zaidi vitu ambavyo ni common sense, kwa sababu mimi sio mwana sheria, ninahisi hata wewe sio mwana sheria, kwa hiyo hizi links ulizonitumia nitazisoma tu kupanua wigo wangu wa kuelewa mambo ya kisheria lakini sio kulumbana katika mambo ya sheria, huwa ninaheshimu sana professionalism sana.

Lakini kwa kutumia common sense yangu inaniambia kwamba customary law haiwezi kuvuka mipaka, hiyo inatumika tu ndani ya nchi, ukishavuka mpaka sheria inayotumika ni International relation governed by international law, sio vinginevyo, kama una jamaa yako ni mwanasheria muulize na atakuthibitishia hilo
 
Wazo zuri pia. Ila sheria nazo zipo. Kwahiyo wakae na kuamua maana hawajaonewa. Wamevunja sheria kuingia na mifugo bila vibali

Vipi ukiwaonya na ukawapa mifugo yao.
Suala la mipaka ni muhimu wananchi wa pande zote wakashirikiana hii mipaka ilichorowa na wazungu kugawa jamii
 
Waarabu? Jana? Hii mbona sijaisikia mkuu, nipatie link kama unayo.
 
Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
 
Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
Mkeo anasifiwa kwa kuwa na kiuno chembamba kama dondola.. Unapoandika upuuzi kama huu sijui na wewe unataka usifiwe kwa kuwa na akili nyembamba kama kiuno cha dondola?
 
Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
Kichwa chako kimejaa utoko ndio maana unakuwa mgumu kuelewa.. Sheria zote nimeshazitaja hapo juu kwa lugha ya kiingereza.. Sasa wewe unaulizia sheria gani tena?
 
Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
Kabla ya kupayuka payuka uwe kwanza unasoma kilichoandikwa na kukielewa. . Tatizo unawashwa washwa kuchokoza wanaume ili wakujibu upate kiki.. Mimi sijibishani na wendawazimu wasiokuwa na mbele wala nyuma kama wewe.
 
Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
umemaliza namuona kijana anabweka sasa.
 
Hizo Takataka haziwezi kufanya lolote kwenye nchi yenye JWTZ.

Tungepukutisha nusu ya Kenya yote.

Eti uje Tanzania na bunduki zako unafuata mifugo iliokamatwa na serikali.

Tungewanyoosha hadi Amnesty International wangeingilia kati.
 
Mkikuyu at his hypocrisy jana mlikuwa mnampigia kelele Wanjigi kuwa na AK47 tano. Leo mnajitamba uwepo wake kwa hata maskini!
 
izo ng'ombe tz mrudishe mara moja ama tutume GSU...stupid!!!!....nkt..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…